Nimefunga pingu za maisha na chaputa!

Nimefunga pingu za maisha na chaputa!

Tiba haichagui hata wewe unapaswa kutibiwa
aiseeee
VAR CHECK


Hili jamaa ni lingese sana
da mental case
Mlaze sebren ili achelewe kulala na awahi kuamka fanya kama unarekebisha chumba chake ili aweze kulala sebreni kwa miezi mitatu

Utanyongwa mapema na mwanamke

Uongeaji unataka kuongea nini wengi walio kutwa na majanga ni sababu ya ndimi zao kua hivyo ulivyo utaepusha mengi

Wapumbavu na wajinga hawaishi

Hakikisha ananamba ya nida, bila ya hivyo miaka 30 itakuangukia
unatakiwa Uwahishwe hospitali wewe HARAKA SANA
 
Back
Top Bottom