Nikweli supu ya mbuzi inapunguza Uboho?

Nikweli supu ya mbuzi inapunguza Uboho?

Kula supu ya mbuzi mkuu
Pale kitega uchumi cha taifa (mwiimbili kama wabena watamkavyo) wameanza kupandikiza uboho
 
Supu ya mbuzi Ina Nini mpaka ikapunguze uboho kwenye mifupa? Reaction yake ni ipi kwenye mwili?

Sidhan kama inapunguza.

Ninachojua ni kuwa kutumia kwa wingi nyama ya mbuzi au nyama nyingine nyekundu zinaongeza uric acid. Na hii ikiongezeka inafanya joint kuuma na uligiligi sehemu zenye viongio vya mifupa kupungua
(Kiuno, magoti, vidoleni nk).

Ila bone marrow (uboho) iko ndan katikat ya mifupa na kaz yake ni kutengeneza damu.
 
Back
Top Bottom