Ni nani huyu?

πŸ˜…. Mapapaa enzi za kikwete ndio walikuwa wanasikika. Utawala wa JPM uliwazimisha.

kuna papaa mmoja alikuwa anakopesha hela unaweka nyumba kama.dhamana, kwenye mkataba anaweka kipendele usipolipa tarehe fulani nyumba au.chochote ulichoweka dhamana kinakuwa chake.

Basi siku moja kabla ya deadline ya kulipa deni anazima simu...kila ukimpigia hapatikani...atakuja kuifungua simu wiki moja baadaye wakati huo mali uliyoweka dhamana ishakuwa yake kwa kuchelewesha malipo!
 
Aise huu umafia wa hatari. Alikuwa nani huyu? Bado yupo kweli, maana mali za hivi sio. Cc: mrangi
 
Nyuma ya lukuvi ni magufuli?Huyo jamaa mwenye suruali ya tumboni aliwahi kuikopesha serikali ili kuwalipa mishahara watumishi wote.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…