Tuanzia hapa, uovu wa Lowassa ni nini ili tujadili kwa hekima,usilete Mwalimu kamkataa ni lini na kwa kosa gani. Uthibitisho tafadhali
Ingekuwa vizuri kama "uovu" wa lowasa ulioutaja ungeuambatanisha na vielelezo, nadhani huyo bwana na wasomaji wengine wangeweza kuchangia mada yako bila ushabiki. Kwa jinsi ulivyomkashifu mwenzio huku ukiwa umeleta mada yenye uovu usio na ushahidi ni dhahiri mada yako ina lengo la kuzidi kumchafua ndugu lowasa. Usinitukane kama ulivyoomba usitukanweHivi una elimu kiasi gani Rafiki?. Ulifaulu kwa kiasi gani maana naona kichwa chako ni kizito, hujauona uovu nilioueleza kwenye Uzi?
Hivi una elimu kiasi gani Rafiki?. Ulifaulu kwa kiasi gani maana naona kichwa chako ni kizito, hujauona uovu nilioueleza kwenye Uzi?
CHADEMA wanampigia debe EL ili akipitishwa na magamba wenzake owe rahisi kumgalagazaIngekuwa vizuri kama "uovu" wa lowasa ulioutaja ungeuambatanisha na vielelezo, nadhani huyo bwana na wasomaji wengine wangeweza kuchangia mada yako bila ushabiki. Kwa jinsi ulivyomkashifu mwenzio huku ukiwa umeleta mada yenye uovu usio na ushahidi ni dhahiri mada yako ina lengo la kuzidi kumchafua ndugu lowasa. Usinitukane kama ulivyoomba usitukanwe
Sasa kwa uliyoandika hapa ndo ya mtu mwenye elimu?....aliyefaulu vizuri?...mwenye kichwa chepesi?.....lol pole yako ndugu......Jamaa kakuhitaji KUDHIBITISHA unachodai ni uovu wa Lowassa......ulichoweza kufanya wewe 'mwenye elimu,uliyefaulu vizuri na mwenye kichwa chepesi' ni hicho?....ptuuuuuuu.....Hivi una elimu kiasi gani Rafiki?. Ulifaulu kwa kiasi gani maana naona kichwa chako ni kizito, hujauona uovu nilioueleza kwenye Uzi?
Wewe ndo kiazi kuliko viazi vyenyewe.Mkuu wala usipate tabu! hapo kuna ukanda wote hao ni wa kaskazini.
Janja ya chadema na ukawa ilishashtukiwa kitambo, mnatafuta pa kuiangushia CCM, mmenoa Lowassa hapitishwi ng'ooo!
Wanajamvi kuna jambo linanitatiza sana wakati juu ambapo siasa zimeshika kasi kuelekea uchaguzi mkuu. Ni kwamba chama cha mapinduzi kimeweka wazi kuhusu kutoridhishwa na mwenendo Wa Lowassa Wa kuanza kampeni mapema tena kwa kutumia nguvu kubwa ya pesa. Mbaya zaidi amebadili modality kwa kuanza kuwajaza mahela wanaccm njaa na eti kurudi kwake kumshawishi agombee kwa kumchangia fedha ambazo wamezitoa kwake. Inashangaza sana, kwa ufuatiliaji nilioufanya, wanaoogoza kumpigia debe Lowassa mitandaoni ni wanachadema. Aidha vyombo vya habari vinavyompamba Lowassa ni ITV na gazeti la Tanzania daima. Ninajiuliza maswali na pia kuwaulizeni wadau, je, ni kweli Tanzania daima linalomilikiwa na Mbowe halijui uovu Wa Lowassa?. Je, Reginald Mengi, mmiliki Wa ITV hajui uovu Wa Lowassa?. Kuna ni nyuma ya pazia?.
Msaada Wa majibu wadau. Matusi kama baadhi yenu mnaona yanafaa, jitusi kwanza wewe kabla hujanitukana. Karibuni.