faithful
JF-Expert Member
- Aug 10, 2010
- 378
- 34
bila shaka waziri mkuu hatakuwa pinda, even me niliota pinda ameomba kupumzika na mkulu akakubali, jamaa aliyetajwa ni msanii sanii fulani ila yupo serikalini.
ni lukuvi kwani ni msanii?
bila shaka waziri mkuu hatakuwa pinda, even me niliota pinda ameomba kupumzika na mkulu akakubali, jamaa aliyetajwa ni msanii sanii fulani ila yupo serikalini.
Nimeota ndoto kuwa Mizengo Pinda si Waziri Mkuu ajaye. Atakayekuwa PM ni mtu aliyekuwepo serikalini asiye na jina ambaye kuwepo kwake ni kama yupo hayupo!!!!:thinking::thinking::thinking::sad::sad::sad::A S cry::A S cry::A S cry: