D delako JF-Expert Member Joined Oct 6, 2012 Posts 3,063 Reaction score 2,175 Oct 16, 2022 #1 Habari za wakati huu Wana JF. Leo nimerudi tena Ndugu Zanguni, Nauza Milango MITANO (5) ya MNINGA. Ni mipya kabisa, bei ni tsh Laki mbili na elf hamsini (250,000/=) kwa mlango MMOJA. Maongezi yapo KIDOGO. Napatikana TABATA KINYEREZI Dar Es Salaam Karibuni SANA 0768 838320. Kwa anayeitaji karibu sana kwa mawasiliano
Habari za wakati huu Wana JF. Leo nimerudi tena Ndugu Zanguni, Nauza Milango MITANO (5) ya MNINGA. Ni mipya kabisa, bei ni tsh Laki mbili na elf hamsini (250,000/=) kwa mlango MMOJA. Maongezi yapo KIDOGO. Napatikana TABATA KINYEREZI Dar Es Salaam Karibuni SANA 0768 838320. Kwa anayeitaji karibu sana kwa mawasiliano
D delako JF-Expert Member Joined Oct 6, 2012 Posts 3,063 Reaction score 2,175 Oct 16, 2022 Thread starter #2 Milango bado inapatikana kwa bei tajwa hapo juu, Ipo TABATA KINYEREZI.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 180,397 Reaction score 197,897 Oct 16, 2022 #3 Ahsante kwa taarifa...
U umucyo JF-Expert Member Joined Aug 12, 2020 Posts 846 Reaction score 736 Oct 16, 2022 #4 Weka na vipimo.
Ncha Kali JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 15,418 Reaction score 29,432 Oct 16, 2022 #5 Bei haina tofauti na kwa fundi tu.
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,995 Reaction score 30,191 Oct 16, 2022 #6 Ncha Kali said: Bei haina tofauti na kwa fundi tu. Click to expand... Kabisa, Haishawishi hata
Masagala JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 4,777 Reaction score 9,660 Oct 16, 2022 #7 Too much money.