milango

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. nodetz

    Anaye fahamu walipo jamaa wenye mashine za kukunja plate kwaajili ya kutengeneza milango ya kisasa ya chuma.

    Habari wana jf, Kama title inavyojieleza hapo juu. kiufupi nimefungua ofisi ya kuchomelea , sasa nimeona design nzuri ya milango ya kisasa nikataka nianze kuiunda ndipo nikagundua naitaji machine ya kukunja na kuweka urembo kwenye chuma. Kwa yeyote mwenye taarifa kuhusu uwepo wa hao jamaa...
  2. Blasio Kachuchu

    ‘My Fever’ yafungua milango ya safari ya Malaika Gray katika muziki wa dunia

    Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam MWIMBAJI na mtunzi wa nyimbo Mtanzania, Malaika Gray, ameanza safari yake rasmi ya muziki kwa kutoa wimbo wake wa kwanza, My Fever, akimshirikisha nyota wa Bongo Flava, Marioo. Wimbo huo uliotoka Oktoba 30, 2026, umeandaliwa jijini Dar es Salaam, ambako pia...
  3. T

    Taaluma Zetu Zisitufungie Milango — Wenye Experience Tushikeni Mkono.

    Wakuu habari za muda huu 🤝 ‎ ‎Kuna namna fulani threads za hapa JF zinavyokuwa na mambo ya taasisi mbalimbali zinazolipa vizuri Tanzania, ukizisoma unajikuta unasema, “Dah, Mungu siku moja na mimi anione.” ‎ ‎Aisee kuna baadhi ya threads ukikaa ukasoma experiences za watu, career journeys zao...
  4. Red black

    Kwanini wakatoliki hawana kipengele cha kuombea waumini wenye shida mbalimbali kama kufungua milango ya ridhiki, magonjwa, majini, uchawi?

    Dark psychology and manipulation.
  5. A

    KERO Kusafisha Mto Ng'ombe (Dar) kisha kuweka uchafu kwenye milango ya makazi ya watu sio salama kiafya

    Huu utaratibu kuwekewa uchafu mlangoni kwenye makazi yetu wakati mtambo wa kusafisha Mto Ng'ombe hapa Dar sio salama kwetu kwa kuwa uchafu wote unakuja kwenye makazi yetu na kutuweka katika hali hatarishi kiafya.
  6. O

    Jamia Mosque yafungua milango kwa wasiokuwa Waislamu katika kampeni ya kujenga uelewano

    Zaidi ya watu 700, wengi wao wakiwa Wakenya wasiokuwa Waislamu, walitembelea Jamia Mosque Nairobi katika Open Day iliyolenga kuwapa wananchi nafasi ya kujifunza kuhusu Uislamu moja kwa moja kutoka kwa viongozi wa dini, badala ya kutegemea taarifa zinazoweza kupotosha kutoka mitandao ya kijamii...
  7. M

    Msaana fundi wa kufunga milango

    Habari ya sahivi, Natafuta fundi wa kufitisha milango ya mbao,milango tayari ninayo ,iko miwili. Site iko kigamboni. Naombeni namba ya mtaalamu wa kazi. Sio dalali.
  8. Waufukweni

    Mchengerwa: Hakuna faida yoyote ya kuwa na misitu alafu watoto wanakaa chini. Hiyo misitu tunamtunzia nani?

    Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, Julai 23, 2026 akiwa ziarani amewataka viongozi wa halmashauri na vijiji mkoani Kilimanjaro kujiongeza na kutafuta suluhu za haraka za kisekta badala ya kusubiri bajeti kuu ya serikali ili kutatua changamoto ya ukosefu wa madawati na miundombinu mashuleni...
  9. Yoda

    Milango nusu ya vyoo vya umma Marekani inahitaji ujasiri sana kwa watumiaji

    Hii milango ya katika vyoo vya umma huwa inashangaza sana, unakuwa unajisaidia huku mtu mwingine kutoka nje anaweza kukuona akitaka na kusikia kila kitu unachofanya Hivi vyoo ukiwa na tumbo la kuhara lile la vuvuzela au tarumbeta ni shughuli pevu, inabidi ukimaliza usubirie kuhakikisha hakuna...
  10. Seth saint

    Wito: Anayetaka kuondoka kanisa katoliki (RC) sasa milango iko wazi

    Habari za wakati huu watanzania wote kwa ujumla. Moja kwa moja katika mada.Kumekuwa na maoni na mijadala mingi kuhusu mwenendo wa kanisa katoliki(RC).Kuna malalamiko ambayo yanasemekana yanatoka kwa waumini wa kanisa katoliki(ambayo sina uhakika kama wanaotoa malalamiko ni wakatoliki kweli)...
  11. M

    Tunapomaliza mwaka, tunaomba watalaam wa mambo ya kiroho mtuelekeze njia za kujitakasa na kufungua milango ya riziki

    Mwaka unaisha. Tunaingia mwaka mwingine. Katika maisha ya utafutaji, kuna vita nyingi, za kimwili na za kiroho. Kutiana nuksi, mikosi na kufungina riziki ni mambo yaliyojaa huku uswahili. Wakuu watalaamu wa mambo ya kiroho, tunaomba mtupe anglau formula za madawa ya kuoga kujitakasa kuondoa...
  12. Kipenzi Changu

    Acha kupotosha, hizi ni protocal za kufunga milango ikulu

    Ambao hawajawahi kufika ikulu ndio wageni wa hizi protocal. Miongozo ndio inataka hivyo
  13. M

    MCP: Siri Inayofungua Milango ya Software Development

    ..
  14. W

    Ushauri kuhusu kuweka milango ya nje ya chuma

    Wadau nimeona kuweka mlango wa mbao na grill kwa milango ya nje kwenye nyumba ya kuishi haipendezi kama kuweka milango ya chuma hasa ya Uturuki na China. Naona kujua ni milango ipi imara ya chuma na naweza kuipata wapi. Ahsante.
  15. Alloyce PR

    Ujasiri wa Kutojua

    "Jifunze kusema ‘Sijui’, kwa sababu unavyojifanya kujua kila kitu, ndivyo unavyojifungia milango ya maarifa." — Alloyce, P.R.
  16. neggirl

    Biashara ya Hardware na workshop ya milango na frame za mbao

    Habari wakuu, Nina wazo la kuanzisha workshop ndogo ya furniture specifically milango na frame za mbao kwa lengo la kupanua wigo wa biashara na ku compliment biashara ya hardware mfano kuongeza mzunguko wa bidhaa zitakazohitajika katika matengezo ya milango au zinazotoka na milango mfano Vitasa...
  17. RaJhumoR

    Milango ya Mitondoo

    Ebwana, Habari wana JamiiForum Nimeleta muswada huu mbele yenu kutangaza biashara ya milango (USED) kutoka kwenye nyumba ya mshua mmoja mtunzaji sana wa mali zake Aisee hii milango iko katika good condition na ipo sokoni mpaka kesho kutwa ambapo boss akikosa mteja ataigawa anapojua Kwa...
  18. W

    Je, baadhi ya mashambulizi ya Iran dhidi ya Israel huruhusiwa kwa makusudi ili uwe ushahidi wa kufungua milango ya kuhalalisha vita pana ?

    Tunavyoona baadhi ya makombora yakitua Israel, Je kuna yanayoruhusiwa maksudi ili Israel ipate uhalali wa vita pana ? Ni ajabu kidogo, japo Iran wanajikongoja kwa kutungua baadhi ya maeneo ya Israel yenye madhara makubwa kwenye video zinazorekodiwa ila ni ya kawaida kwenye casulities lakini...
  19. CONTROLA

    Nifanyeje Kupunguza Gharama za Milango?

    Katika Maeneo yananipasua Kichwa eneo la Finishing ya nyumba ni Milango. Yani kuna wakati natamani kuweka hata mabati, ilimradi Mlango Naomba Wazoefu eneo hili mnisaidie Huwa mnafanyaje mkifika eneo la KUWEKA milango nyumba. Gharama za mlango Mmoja Wa Mbao ya Mkongo inafika hadi 1m na zaidi...
  20. Stephano Mgendanyi

    Serikali Yafungua Milango ya Uwekezaji Kwenye Ujenzi wa Nyumba za Makazi

    𝐒𝐄𝐑𝐈𝐊𝐀𝐋𝐈 𝐘𝐀𝐅𝐔𝐍𝐆𝐔𝐀 𝐌𝐈𝐋𝐀𝐍𝐆𝐎 𝐘𝐀 𝐔𝐖𝐄𝐊𝐄𝐙𝐀𝐉𝐈 𝐊𝐖𝐄𝐍𝐘𝐄 𝐔𝐉𝐄𝐍𝐙𝐈 𝐖𝐀 𝐍𝐘𝐔𝐌𝐁𝐀 𝐙𝐀 𝐌𝐀𝐊𝐀𝐙𝐈 Dodoma, 5 Mei 2025 – Waziri wa Ujenzi, Mhe. Abdallah Ulega (Mb), amewasilisha Bungeni Mpango na Bajeti ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka wa fedha 2024/25 akiainisha utekelezaji wa miradi ya kimkakati ikiwemo ujenzi na...
Back
Top Bottom