NATAKA KUTENGENEZA MFUMO WA CHAMA -CHADEMA

NATAKA KUTENGENEZA MFUMO WA CHAMA -CHADEMA

marcoveratti

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
1,119
Reaction score
1,959
Hello mambers

Nimejaribu kusearch huko mtandaoni kama je kuna tovuti rasmi au mfumo rasmi wa Chama cha siasa cha chadema

Ila sija viona nyingi sio rasmi.
(Kama zipo basi mta nirekebisha)

Hivyo niko interested na motivated kutengeneza mfumo wa chama utakao wezesha kutanza taarifa kuanzia ngazi ya taifa mpaka tawi ..

Kwa wanachama mpaka viongozi ,

Kutengeneza tovuti rasmi yenye ubora unaoendana na hadhi ya chama


Kama kuna wenye uhusuka humu na wanaweza ongeza chochote kwenye wazo hili karibuni sana.
 
Back
Top Bottom