Natafuta mpenzi

Hii ni Ministry yetu tumeianzisha kwa ajili ya kufanya maombi na uponyaji kwa watu wenye uhitaji (Baada ya kuachana na tunguri nimeingia huku). In such siyo dhehebu. Kule kukutana kwetu ndiyo tunaita Kanisa.
Sawa, Ahsante nashukuru kwa ufafanuzi. Nikipata wasaa nitajifunza zaidi kwako.
 
Halafu wanapigania wanaume wenzao yaani humu hadi pressure kila mtu anamlinda mwanaume mwenzaken
Babe unataka umharibu kijana wako mwenye umri wa miaka 23! Huyu ni mjukuu wetu, mtoto wa kiume na hivyo hana hadhi ya kuitwa mwanaume. Tumlinde aje kumpata mtu sahihi miaka ijayo.

Wewe pambanana na mimi mzee mwenzako.
 
Sijaelewa ulichoandika eti
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…