Renegade
Platinum Member
- Mar 18, 2009
- 7,982
- 8,658
Tate Mkulu kanisa la Mungu Baba ndio dhehebu gani tena?Kijana wangu unahitaji maombi na uponyaji. Ukipata nafasi njoo kanisa la Mungu Baba pale mabatini Meta Jumapili hii. Kuna maombi ya utakaso.
Tate Mkulu kanisa la Mungu Baba ndio dhehebu gani tena?Kijana wangu unahitaji maombi na uponyaji. Ukipata nafasi njoo kanisa la Mungu Baba pale mabatini Meta Jumapili hii. Kuna maombi ya utakaso.
Hii ni Ministry yetu tumeianzisha kwa ajili ya kufanya maombi na uponyaji kwa watu wenye uhitaji (Baada ya kuachana na tunguri nimeingia huku). In such siyo dhehebu. Kule kukutana kwetu ndiyo tunaita Kanisa.Tate Mkulu kanisa la Mungu Baba ndio dhehebu gani tena?
Sawa, Ahsante nashukuru kwa ufafanuzi. Nikipata wasaa nitajifunza zaidi kwako.Hii ni Ministry yetu tumeianzisha kwa ajili ya kufanya maombi na uponyaji kwa watu wenye uhitaji (Baada ya kuachana na tunguri nimeingia huku). In such siyo dhehebu. Kule kukutana kwetu ndiyo tunaita Kanisa.
Halafu wanapigania wanaume wenzao yaani humu hadi pressure kila mtu anamlinda mwanaume mwenzakenHuyu kajiunga JF week mbili zilizopita. Nazan hajaijua JF kua ina wanaume watupu.
Kijana ungeenda Toktok kule.
Babe unataka umharibu kijana wako mwenye umri wa miaka 23! Huyu ni mjukuu wetu, mtoto wa kiume na hivyo hana hadhi ya kuitwa mwanaume. Tumlinde aje kumpata mtu sahihi miaka ijayo.Halafu wanapigania wanaume wenzao yaani humu hadi pressure kila mtu anamlinda mwanaume mwenzaken
Nilikua natafuta nahisi nishakupata au unasemaje mpenziMariposa na wewe unatafuta mpenzi?
Yaani tumepatana kwa kweli, Nami nilikuwa natafuta ila mke wa pili, unasemaje Mpenzi?Nilikua natafuta nahisi nishakupata au unasemaje mpenzi
ShindwaaaaaaaYaani tumepatana kwa kweli, Nami nilikuwa natafuta ila mke wa pili, unasemaje Mpenzi?
AiseeMcheki Mwashambwa anatafuta bwana
Sijaelewa ulichoandika etiBabe unataka umharibu kijana wako mwenye umri wa miaka 23! Huyu ni mjukuu wetu, mtoto wa kiume na hivyo hana hadhi ya kuitwa mwanaume. Tumlinde aje kumpata mtu sahihi miaka ijayo.
Wewe pambanana na mimi mzee mwenzako.
Jamani, jamani unataka unikoseshe utamu hivi hivi kweli? Ukiwa Mama mdogo utadekezwa kuliko mtoto wa mwisho.Shindwaaaaaaa