Natafuta mchumba

Twende MSIBANI kuSAKA mwanamke - huku unaweza kutana na JINI
 
Twende KUMBI ZA STAREHE kuSAKA mwanamke - huku unaweza kutana na JINI
 
Mkuu kaa kushoto utanipeperushia njiwa..😂
Usiwaze kaka ila hizi Mali huwa zinaliwa kimyakimya mana kuna wame zao humu, mahawara, Madanga, hivo hua tunafukuzia kimya kimya mkuu, tusiharibiane Marshall, umenipata? 🤛
 
Ingekuwa serious ungenifanyia interview hapa😏

Halafu unanihoji Kwa ukali mbona🙄
Niko hapa sema nakuuliza maswali unajibu ndivyo sivyo!, jibu maswali vizuri nikutoe huko na kuta za nyumba zitoke kwenye hatari ya kukwaruzwa na mgongo wako!..
Narudia tena una miaka mingapi..?
Je, wewe ni single tu au single mama..?
Afu nyie mnapendana ujue kuweni sirius mtafika mbali
 
Mimi ni mweusi kama makaa ya mawe, pia muislam kwahiyo automatically nipo nje ya mpambano japo nipo hapa SULUTI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…