Natafuta mchongo wa kazi

Natafuta mchongo wa kazi

kijana mdogo umri miaka 20 niko dodoma nimepanga chumba natafuta connection za kazi dom
Natafuta madogo wawili ambao wako mtaani hawana mitikasi niwafundishe udalali wa nyumba,viwanja na magari pengine itawasaidia kwa kipindi hiki ambacho hawana ajira rasmi
ukiwa dodoma itakuwa poa zaidi
nicheck whatsap-0622111186
GIVING BACK TO HELP THE YOUTHS
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom