Natafuta kazi

Natafuta kazi

Joined
Oct 29, 2026
Posts
6
Reaction score
18
HUDUMA YA HOME TUITION (HISABATI & SAYANSI) 📚✏️

Habari wazazi/walezi! Mimi ni Mwalimu wa PRIMARY (Astashahada ya Ualimu - Grade A). Ninafundisha wanafunzi wa Shule ya Msingi (Darasa la 1–7) masomo ya Hisabati na Sayansi.

✅ Namjengea mwanao msingi imara na kuondoa hofu ya masomo.
✅ Namsaidia homework na maandalizi ya mitihani.
✅ Napatikana DAR ES SALAAM.

Gharama ni nafuu na tunazungumza.
📞 Piga [ 0726700816]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom