Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 21,048
- 44,045
Madini sanaaI'm not sure kama una skills zinazo match na mahitaji ya muajiri wako , ambazo zikakupelekea kupoteza Opportunity kwa tatizo la kutokuwa good speaker.
Unaweza ukawa Very words Economic guy
Ila ukawa mzuri katika kuandika , kufanya kazi na ku-meet target za muajiri wako .