Naomba lyrics ya huu wimbo wote

Naomba lyrics ya huu wimbo wote

Wanafiki wafunge midomo, lyrics hizi hapo kaka yangu.

1. siku ya furaha, siku ya uzima aliyozaliwa Yesu.
:: Tulipotea Yesu akaja.
furahini, furahini
wakristo.

2. siku ya furaha, siku ya uzima
aliyozaliwa Yesu.
::Yesu ashuka, atuokoe.
Furahini, Furahini wakristo.

3. Siku ya furaha, siku ya uzima
aliyozaliwa Yesu.
::Malaika wote
wamsifu Mungu.
furahini, furahini Wakristo.

Lyimo kazi kwako, ushauri niliokupa juu tafadhali zingatia.

THREAD CLOSED.


ASANTE SANA neggirl, Mungu akubariki sana. Pia nitazingatia ushauri wako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom