Holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 9,160
- 20,823
Wakuu
Bila shaka nilileta kisa cha kumchukia baba yangu mwaka uliopita.
Wadau mbalimbali hasa Mshana Jr walijitokeza na kunishauri kuwa yule atabaki kuwa baba na sijui background ya baba na mama yangu.
Kiukweli jumbe zingine zilinigusa sana,zingine za kunikatisha tamaa, na zingine wadau walikuwa wanaandika for fun.
Ila kwa mambo aliyoyafanya mzee hapa katikati (tangu niandike uzi ule mpaka sasa) imedhihirisha kuwa faza hakuwa na ugomvi wala kitu chochote cha siri na mama kilichowafanya watengane,bali mzee ni mlevi na mpenda wanawake ndio maana akishapata mwanamke huko klabuni akili yake yote anaihamishia huko familia anaisahau.
Mwaka huu,mwezi wa kwanza mdogo wangu ameolewa, mzee kachukua mahari yote kateketeza bila hata ya kusema agawane na mzazi mwenzie, alichukua mahari akaenda kula na wanawake wengine huko
Sitaki kumjaji sana mzee maana na mimi ni mzazi pia isije ikajirudia kwangu pia,ila itoshe tu kusema licha ya kuwa ni mzazi ila mzee hana utu,ubinadamu na still namchukia. Ep 3 inakuja