Nahitaji kuoa sasa

Natafuta Mke 1

New Member
Joined
Nov 6, 2026
Posts
1
Reaction score
4
Habari wanajukwaa,

Nimefikisha miaka 38 sasa, nishamaliza utoto ujana na kila aiana ya ushenzi na maamuzi yangu ni kuingia katika ndoa 2027.

Naomba mwenye ndugu, jamaa, rafiki au mwanamke aliyeta tayari kuingia katika ndoa basi tufahamiane na Mungu akibariki uwe mke wangu, nafanya kazi + biashara dar es salaam, ila nipo tayari kuoa kutoka mkoa wowote hata awe kijijini, sibagui kabila wala elimu ila nitaangalia utayari wako na sifa za atakayekuwa mke wangu ikiwemo maadili, uzuri wa mwonekano, afya na akili ya maisha.

Nimekuja hapa sababu sitaki kuwa na mtu wa cycle yangu nahitaji maisha mapya na watu wapya, pia nimeweka post hapa naamini itawafikia watu wengi na nitapata option na mtu sahihi zaidi, kama ikitokea una mtoto basi asizidi mmoja, ikiwa huna au hujawahi kufanya kabisa itakuwa vizuri pia.

Naweka namba yangu hapa naomba tuwasiliane whtsApp, kwa aliye serious au kama una ndugu rafikinaomba nisaidie connection +255 661 309 830
 
Ungefaidi sana tiktok kuke au face book, kule ukisema hivo wanaporomoka balaaa, alafu kama kweli uko seriois jiunge kwemye magroup facebook jichanganye huko, asee uko ukitangaza kama jivi dm inajaaa fasta sijui waoaji hamna siku hizi sijui shida nini
 
Sikulaumu maana unapita mlemle nilimopita mimi tofauti tu ni kutafuta nke ntandaoni! Miaka 38 mimi ilikuwa 37. Sasa nashangaa unashindwa mini kupata mke huko nje jamani mpaka tukusaidie?
 
Sikulaumu maana unapita mlemle nilimopita mimi tofauti tu ni kutafuta nke ntandaoni! Miaka 38 mimi ilikuwa 37. Sasa nashangaa unashindwa mini kupata mke huko nje jamani mpaka tukusaidie?
Wewe ulipata wapi mke? Mi naona yupo sahihi mke anapatikana popote tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…