nahitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    Nahitaji nguruwe wa nyama kwa wingi

    Wakuu habari za wakati huu....! Nafanya biashara ya kuchinja na kuuza nyama ya nguruwe. Hivi karibuni Mungu kabariki nimefanikiwa Kufungua machinjio yangu iliyo rasmi, na vibali vyote toka kwenye mamlaka ya serikali. Machinjio bado mpya hivyo sina supplier wa nguruwe wa uhakika. Kama kuna...
  2. R

    Nahitaji makopa ya mihogo yenye maganda

    Nahitaji vipande/makopa vya mihogo mikavu lakini vikiwa na lile ganda lake (unpeeled cassava slices). Nahitaji angalau tani elfu moja kwa mwezi. Tuwasiliane whatsapp 0789904445
  3. R

    Nahitaji mbegu hizi zinazoota porini

    Kama unazo nalipa shilingi elfu ishirini na tano (25,000) kwa kilo. Nanunua kuanzia nusu kilo. Kigezo muhimu ziwe na ukubwa sahihi yaani ziwe zimekomaa. Nipo Arusha. Usafiri nitalipia. Nimeagiza mara mbili kutoka Dar na Dodoma ila nimeletewa mbegu ndogo sana. Kama unazo nicheki whatsapp 0789904445
  4. M

    Naomba support yenu kidogo – Nimekuwa nikitengeneza platform ya kidigitali, nahitaji watu wa kuijaribu na kunipa maoni

    Habari zenu wakuu, Nimekuwa nikijifunza na kujituma kwenye masuala ya technology na software development, na katika harakati hizo nimeweza kutengeneza platform inayoitwa Taifika. Kwa sasa nimefikia hatua ambayo ningependa watu wengine zaidi ya mimi mwenyewe waijaribu, waichunguze na kunipa...
  5. U

    Taarifa Muhimu: Ili Democrats wamuondoe Trump madarakani kwa njia ya impeachment wanahitaji kura 67 za Maseneta

    Hamjamboni nyote? Nimeona nitoee taarifa hii mapemaa kuepusha mkanganyiko na sintofahamu. Basi nendeni kazini mkachape kazi
  6. R

    Nahitaji haya mazao kwa wingi

    Nahitaji mihogo mikavu (makopa), maharage ya soya (soya beans) na pilipili kavu. Mwenye supply ya uhakika angalau tani mbili kwa mwezi kwa kila zao tuwasiliane whatsapp 0789904445
  7. R

    Nahitaji haya mazao kwa wingi

    Nahitaji mihogo mikavu (makopa), maharage ya soya (soya beans) na pilipili kavu. Mwenye supply ya uhakika angalau tani mbili kwa mwezi kwa kila zao tuwasiliane whatsapp 0789904445
  8. secretarybird

    Nahitaji ufafanuzi zaidi kuhusu wale mabikra 72 walioko peponi 😎

    Kuambiwa peponi Kuna mabikra 72 kumenfurahisha, lakini Wala hakujafanya nisahau kuuliza maswali ya msingi kuwahusu. Nataka nijue yafuatayo: Je, mabikra hao wana makalio makubwa yaani qeboz? Je, watakuwa ni weusi weupe? Je, ukipewa wazungu, ambao kwa kawaida hawana qeboz, unaruhusiwa...
  9. S

    Nahitaji mwenza wa kuoa Morogoro

    Habari wakuu? Umri unakwenda sana. 39 yrs now. Dada ambae unapatikana hapa morogoro au mkoa wowote lakini una uhitaji wa kuoelewa mwezi ujao, naomba tuwasiliane inbox. Binti mzuri, uwe mkristo. Umri 25-33. Urefu wastani. Hatuna pesa mama ndo tunaanza kutafuta. Karibuni sana wahitaji.
  10. D

    Nahitaji wafanya kazi wa massage

    📢 TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI – WAFANYAKAZI WA MASSAGE Tunatafuta wafanyakazi wenye uwezo, bidii na nidhamu kwa ajili ya kutoa huduma za massage. SIFA ZA MWOMBAJI Awe na umri wa miaka 18 hadi 30. Awe na uwezo wa kufanya kazi kwa ufanisi. Awe mwaminifu, mchapakazi na mwenye nidhamu. Awe tayari...
  11. manaina jr

    Nahitaji Mwongozo: MSc Data Science UDSM

    Wakuu habari ya muda huu Mimi ni mwajiriwa serikalini nimeomba admission UDSM ya Msc in Data Science na Mungu amesaidia nimepata. Naomba mwongozo kwa wazoefu waliosoma au wanaosoma hii kozi hapo chuo. Ni nini ugumu wake, gharama za zaidi ukitoa ada ni zipi (zile zinazohitajika zaidi kulipwa...
  12. vibertz

    Msaada nahitaji betri aina ya ER 34615

    Nahitaji betri aina ya ER 34615 ambalo kwa jina lingine inaitwa non-rechargeable D-size -Lithium Thionyl Chloride (Li-SOCl₂). Naomba kwa anayejua duka ninaloweza kupata naomba nijulishe, au kama kuna mtu anauza naomba nicheck, iwe ni kampuni yoyote ile ila iwe na uwezo wa 19,000 mAh (19Ah)
  13. Aggrey sallah

    NAHITAJI FUNDI PROFESSIONAL WA SUIT ZA KIUME – DAR ES SALAAM

    Natafuta fundi professional mwenye uzoefu na uwezo mkubwa katika ushonaji wa suit za kiume, kwa ajili ya kufanya naye kazi kwa muda mrefu. Workshop ipo Mbezi Beach, Dar es Salaam, ikiwa na mashine za kisasa, nzuri na za kutosha pamoja na mazingira mazuri ya kazi. Awe na uwezo wa: • Cutting na...
  14. Mr Rich

    Nahitaji Connection ya Kazi Serikalini

    Wakuu habarini za wakati huu, mimi ni ME, Elimu Form Six niliachaga Chuo muda mrefu, sina leseni ya udereva nina NIDA. Nahitaji mwenye connection ya kazi serikalini anisaidie donge nono lipo kwa atakae nisaidia. Lengo langu ni kuingia kwenye mfumo wa serikalini wa ajira hivyo kazi yeyote ile...
  15. cold water

    Harmful nimeshindwa kuku dm

    ......
  16. cleokippo

    Nahitaji mashine ya mtumba ya kuoshea magar......nipo Mwanza

    kwa yeyote anayefaham chimbo linalouza mashine za mtumba za kuoshea magar naomba anijuze tafadhali ila ni kwa Mwanza
  17. mcTobby

    Nahitaji ngoma hii ya Michael Jackson.

    Wadau mwenye ngoma za Michael Jackson kama ifuatavyo anisaidie. Smooth criminal They don't care about us When I come of age Stranger in Moscow Blood on the dance floor N.k. Nitashukuru sana .🤝
  18. T

    Nahitaji viroba vya kilo 50, kama vile vya Azam vya unga wa ngano

    Jamani, Kama kuna mtu anajua kiwanda kinachotengeneza ville viroba, naomba anisaidie contact, nina shida navyo.
  19. Equation x

    Nahitaji kuwa na marafiki wengi wa kike

    Wataalamu wanasema, kuwa na marafiki wengi wa kike ni sawa na kufuga kuku wengi bandani, pale unapohisi njaa unamkata kuku mmojawapo, unachinja na kumla. Ingawa changamoto yao, ya kuwa nao wengi, wanakula sana mapumba (hela) ila hawata taka kuathiri vyanzo vyako vya fedha; ila ni bora wao...
  20. Chief Kumbyambya

    Wajuvi wa mambo naomba kufahamishwa hiki kisiwa cha HAWAII kiko wapi nahitaji nikaishi huko

    Mwanzoni nilikuwa na wazo la kutimkia huko MADAGASCAR, ila sasa nimebadili gia angani yaani ndege nimeipiga U-TURN. Maana naona kukaa bongo ni kama nimechoka maana madrama kila kona. Ukipanga chumba drama kibao, mtaani drama kibao, kwenye migahawa ya chakula drama kibao, siasa drama kibao...
Back
Top Bottom