Nafundisha Kiingereza

Nafundisha Kiingereza

Unapatikaje, hilo tangazo lako ungeliweka kwa kiswahili, hapo wanaohitaji bado hawajui umeandika nini
Hilo nalo neno. Unatafuta wanafunzi wa kuwafundisha Kiingereza ambacho hawakijui! Tangazo lako unalileta kwa kugha ile ile ambayo hao wanafunzi hawaifahamu!
 
Who spoke those said mwalimu kashasha
 
Kubabake , Bongo nyoso !

Ukisikia vyuma vimelombana ndio huku
 
I teach English online.
I have a Bachelor's degree in Counseling and English Language.
I have extensive experience teaching people of all ages and genders.
Welcome.
Kwani umetufundisha tyal mpaka tumejua?? Andika kiswahili tungekuw tunajua kiingereza usingeleta tangazo.
 
The easiest way to learn any language is to be roomed by Native Speakers
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom