Afrika Furaha
JF-Expert Member
- Dec 16, 2010
- 329
- 10
achana naye huyo
anataka kuoa yeye au wewe?
Hakuna ubaya kupewa ushauri na baba yako. Labda yeye amejifunza kitu kwa kuwa mama yako alimaliza la saba.
Mbona vigezo vyepesi tu? Labda cha mtoto wa mjini ndo kigumu
Kama ulikuwepo kwenye mawazo yangu!!!!!!!!!!
Sasa Gaijin huo ni ushauri au masharti hayo?
wengi tunathamini ushauri wa wazazi linapokua suala la ndoa.
Lakini wazazi wengine sasa wanasahau kushauri bali wanatoa masharti.
Kwani ameambiwa asipofata ataadhibiwa?
Hakuna sharti hapo ni ushauri tu, kama hataki kufata ushauri wa baba yake basi.
Sio kumleta hapa kudhihakiwa.
kwani ameambiwa asipofata ataadhibiwa?
Hakuna sharti hapo ni ushauri tu, kama hataki kufata ushauri wa baba yake basi.
Sio kumleta hapa kudhihakiwa.
G mpaka na interview ? Asipopita huo usaili wa baba si basi amefeli kigezo kimojawapo?
sasa huo ni ushauri gani basi...
Mmh Gaijin, msema pweke hakosi maana yake nini?Kwanza kuna kitu waswahili wamesema "msema pweke hakosi"
Hivi unaamini kuwa baba yake kamwambia ende akamu interview? Naamini hakuambiwa hivyo.
Usikute kaambiwa "mlete tumuone mapema, tuzungumze nae, tuone kama tunaelewana kwa kuwa ndoa si ya wawili tu kwa mila ya kwetu"
Mmh Gaijin, msema pweke hakosi maana yake nini?
Inawezekana kweli baba hakusema ampeke akamsaili jamaa kaongeza ndimu ya unga na pilipili. Vinginevyo ningemuona mdingi mkoloni kwa kweli.
husithubutu kufanya hili kwa usalama wako. Sihitaji kufafanua, fikiria mwenyeweachana naye huyo
Msema pweke hakosi ina maana anaehadithia kitu peke yake huwa hawezi kujuulikana kama kakosea kwa kuwa hakuna hadithi kutoka upande wapili.
Yeye kamchora baba yake hivyo na sisi tunaamini kwa kuwa ni msema pweke ndo hakosei 🙁
Soma maoni ya watu uoni alivyomtukanisha kwa kuwa tu yeye mwenyewe hakuonyesha kumuheshimu.
Asante G, sisi wengine uingereza hatupo na uswahili hatupatikani!
Unayosema yana maana sana na haya ndo madhara ya simulizi ya upande mmoja na pia habari za mkono wa pili!
Ukute hapo the original conversation ilikuwa tofauti kabisa. Basi hapa ni kubahatisha na kuweka 'Kama' na '-Nge' (tunaotea)