The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 6,605
- 15,266
- Thread starter
- #21
“Mwovu hukimbia pasipo mtu kumfukuza; bali mwenye haki ana ujasiri kama simba.” — Mithali 28:1Maisha yanikimbize halafu na mazoezi yanikimbize hapana kwakweli...😅
“Mwovu hukimbia pasipo mtu kumfukuza; bali mwenye haki ana ujasiri kama simba.” — Mithali 28:1
Sasa 10k sio ndoto Tena 💯
New Balance huwa naagizaUnatumia viatu gani? Unanunua wapi?
New Balance huwa naagiza
Old oneRunning shoes ziko expensive sana 🤣, na hzi za mtumba ni risk kupata Injury
Mzigo mpya umetua
View attachment 3619035
Mbio hazina umuhimu ikiwa hata kutembea unatoa jasho
I do jogging, every 3 days in a week...began since I was around 15 yrs....walking & joggingHahaha, hujui tu mwili unavo kua fresh baada ya jogging
I do jogging, every 3 days in a week...began since I was around 15 yrs....walking & jogging
Nani amesema anaacha? Au hujanielewa?Sasa si ungeacha kama hazina umuhimu