Mwanaume hapo vipi?

sijakisikia mwanaume!
Lakini ni vizuri kufahamu kua,
kitanda hakizai haramu,

na kujikosesha amani mwenyewe ndani ya ndoa yako mwenyewe ni kujipa mateso makali ya kisaikolojia maisha yako yote,

na pengine ulimi ukiteleza siku moja, ikawa ndio mwisho wa maisha yako hapa duniani dhidi ya unaemdanganya kwenye ndoa hiyo πŸ’
 
Walewaleee!
Nilidhani ni mwanaume kumbe ni mume wa singo maza.
Tuulize sisi ambao mmeoa wanawake tuliozaa nao, hakuna hata mmoja asiyewasiliana na mumewe wa kwanza labda kama kafa au yuko mbali hawezi kumpa jukwaa ahutubie kidogo.
 
Kwa mwanamke anayejielewa hawezi kufanya hayo!
 
Mkuu,
Saivi wanakubambikia Bikra feki vizuri tu, wamejizatiti. Unaeza chukua mama wa watoto kadhaa ukidhani ni Bikra kumbe umeyakanyaga!

View attachment 3715256
Hizi unazingua Mbona Mapema Tu, Na Mwanamke aliyezaa Na Ambaye Hajazaa Wana Tabia Zinazotambulika Mapema tu..

By the Way Jaribuni kuuliza Wenyeji kwanza Kabla Ya Kujiweka mazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…