R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 53,131 Reaction score 104,804 Mar 1, 2026 #1 Msimu ndio huu! Kuna matumaini ganinya mbua, hasa ukanda wa Pwani maana ndiko kuna shida kubwa ya mvua.
Msimu ndio huu! Kuna matumaini ganinya mbua, hasa ukanda wa Pwani maana ndiko kuna shida kubwa ya mvua.
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 22,640 Reaction score 43,770 Mar 1, 2026 #2 Mvua ya kutosha,mpunga tutapata
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 30,194 Reaction score 48,043 Mar 1, 2026 #3 Inanyesha vizuri tu, mabwawa yamejaa maji
MAWEED Platinum Member Joined Oct 11, 2016 Posts 4,618 Reaction score 16,426 Mar 1, 2026 #4 Mwaka huu mpaka wajinga watavuna mpunga na ndio tutakapouza kilo 800