Msaada wa jinsi ya kutengeneza kachumbari

Jurrasic Park

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2013
Posts
3,834
Reaction score
6,891
habari za majukumu wana jf

Naomba msaada wa kutengeneza kachumbari
nina viungo hivi; nyanya, kitunguu maji, karroti, pilipili hoho, limao
naomba muongozo wa jinsi ya kuandaa kama kutakua na nyongeza tafadhali mnielekeze
 
Kachumbari haina ufundi
 
habari za majukumu wana jf

Naomba msaada wa kutengeneza kachumbari
nina viungo hivi; nyanya, kitunguu maji, karroti, pilipili hoho, limao
naomba muongozo wa jinsi ya kuandaa kama kutakua na nyongeza tafadhali mnielekeze
Seriously???
 
Bhuahahahahaha wanaume wa dodoma mshaanza vituko sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom