MAGARI7
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 2,401
- 1,311
CIF $4,159.
$4159+2187= Tsh 9,095,733
Sorry, ni kuzidisha au kujumlisha.?
CIF $4,159.
$4159+2187= Tsh 9,095,733
Inataka resemble na kitu moja yaitwa Nissan FUGA (hatari sana hii gari) mjini hazionekani ovyo ovyo hizi FUGA...chukua FUGA.
Wakuu nimevutiwa na hii gari,naombeni uzuri na changamoto zake.
Nissan skyline 2007 250gt
Model Code DBA-NV36
Engine Size 2,490cc.