Mm sipend mwanaume legevu!

Mm sipend mwanaume legevu!

Kwa wakati huu kuna mwenye apetite na hayo makitu,kamata wanaobalehe wafanyie mazoezi hapo!.
 
Lima shamba vizur acha ulegevu
Hii kitu siyo ugali kwamba ni ya lazima kwa huko tuendako,mabachela na masingo mama wataongezeka kweli,ndoa zitakuja za mikataba pia,unafunga ndoa una register mali zako ili zisinyakuliwe!
 
Back
Top Bottom