Mke wangu ananipenda sana!

Mke wangu ananipenda sana!

Ananipa mapenzi ya moto moto jamani nafurahia ndoa kweli hata sitamani kuwa na mchepuko
Hongera Mkuu.

Neno jipya hapo ni kupendwa sana.
Kuna wanawake au wanaume huwa wakipenda wanapenda kweli. Na wanapenda haswa.

Nje ya mada: Ulimtoa bikra ww?.
Au kabla yako aliwah kumpenda sana mwanaume mwingine?.

Na je Umemuoa Kihalali au sogea tukae?.
 
Ananipa mapenzi ya moto moto jamani nafurahia ndoa kweli hata sitamani kuwa na mchepuko
Wacha kujitapa mtaani utakuja kugongewa nyani! Juzi kunankijana amekuja home kushitaki kijana langu la dukani limemgongea! Tulivyolipeleleza likasema alikuwa anajitapa mtaani!
 
Mwanzo nilikuwa nafahamu kuwa mimi ni kijana wa hovyo pekee humu jukwaani kumbe tuko wengi, na mleta mada akiwemo.
 
Utakuta hapo unaponunuza hiyo zawadi yeye analiwa na boda
 
Back
Top Bottom