Mimi ni KIBARAKA....!

Mimi ni KIBARAKA....!

Kibaraka

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2010
Posts
249
Reaction score
45
Hello JF.

Mimi ni Njuka humu naomba mnikaribishe jamani.

Ahsanteni.
 
Hello JF.

Mimi ni Njuka humu naomba mnikaribishe jamani.

Ahsanteni.
Karibu sana Kibaraka

Ila hilo jina lako na hiyo picha napata wasiwasi kidogo na wewe.
Lakini karibu usihofu
 
Hello JF.

Mimi ni Njuka humu naomba mnikaribishe jamani.

Ahsanteni.

Picha unayotumia na jina lako vipo perfect!Sijui ndio wewe kweli hapo kwenye picha ila Karibu sana
 
duuuu kibaraka kama nimewahi kukuona VILE! Nakufahamu eeeh au!? karibu sana mkuu!
 
karibu kibaraka ila sorry usije ukawa kibaraka wa ukweli anyway ur welcome
 
Jamani hilo ni jina langu tuu.
Yaani ni Nomino na sio Kitenzi.
 
duuuu kibaraka kama nimewahi kukuona VILE! Nakufahamu eeeh au!? karibu sana mkuu!

ni kweli mimi sio mgeni machoni kwa wengi tuu.
Nilijipatia umaharufu sana siku ya kutangaza matokeo ya uchaguzi mkuu.
 
Tunashukuru kwa ufafanuzi, karibu sana kibaraka nomino
 
ni kweli mimi sio mgeni machoni kwa wengi tuu.
Nilijipatia umaharufu sana siku ya kutangaza matokeo ya uchaguzi mkuu.

duuh nimeipenda hii yote yenye red.

Karibuuuuuuuu
 
KARIBUU kKIBARAKA KARIBUUU ILAA NAKUONYA MAPEMAA........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom