Masoud Kipanya - Mpiganaji

Masoud Kipanya - Mpiganaji

Nilikuwa sijaona gazeti la jana, si ndo maana nikasema mwenye data anijuze

humu kweli kuna wapumbavu. yani lolte la kuisifu CDM ni zuri kwako ila la kuiambia ukweli ni upuuzi!!!!!!!
umejiumbua kaka na umeonyesha jinsi unavyofikiri kwa kutumia makalio.
LOL
 
Mimi sijaiona hiyo katuni, Labda ningesema tu pengine huenda mtazamo alioutumia ni Mgumu kueleweka, nyie mnao mlaumu ni kwamba mmeshindwa kuthaminisha kazi yake, kuchora katuni sio kazi ya mchezo ni lazima uumize kichwa, hata hao mnaowaita wasomi hawawezi kuumiza kichwa namna hiyo, Katunisti ni mtu ambaye Extraordinary ( Masoud kama unasoma utakubaliana nami ) ndio Maana amekomea Darasa la 7 kama mmoja wetu alivyosema ( Ingawa haijulikani kama ni kweli ) lakini anafanya mambo makubwa sana. Kitu ninachoweza kusema tu ni kwamba watu wanashindwa kumwelewa kazi zake sababu ufanisi wake umeshuka kiwango, huwezi kulinganisha na enzi zile za Mkapa na Sumaye. huenda kutokana na majukumu mengine aliyojiongezea kama vile Duka lake la Nguo na biashara nyingine anazozijua, kiufupi Mambo yamekuwa mengi. Full stop!
 
Back
Top Bottom