drphone JF-Expert Member Joined Sep 29, 2009 Posts 3,542 Reaction score 295 May 27, 2011 #21 aibu yao wenyewe napenda itv, mlimani tv startv nk hawa kwishinei kabisa ucku wa habari ulikuwa wakati wa jerry murro sasa hvi akuna k2
aibu yao wenyewe napenda itv, mlimani tv startv nk hawa kwishinei kabisa ucku wa habari ulikuwa wakati wa jerry murro sasa hvi akuna k2
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 19,051 Reaction score 22,616 May 27, 2011 #22 kinachonifuraisha kwa viongozi wa hiki chama tawala ni kuwa wameweka pamba masikioni na kumiminia super glue kabisa ili zisitoke. teh teh teh!
kinachonifuraisha kwa viongozi wa hiki chama tawala ni kuwa wameweka pamba masikioni na kumiminia super glue kabisa ili zisitoke. teh teh teh!
Tusker Bariiiidi JF-Expert Member Joined Jul 3, 2007 Posts 5,554 Reaction score 2,161 May 27, 2011 #23 napenda sana habari zao za michezo kwan wale puppets wanajua kuigana sauti na vitendo nawapenda sana...
napenda sana habari zao za michezo kwan wale puppets wanajua kuigana sauti na vitendo nawapenda sana...
Leonard Robert JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 11,151 Reaction score 7,427 May 27, 2011 #24 ujinga mtupu tbc, yaa tbc ni janga lingine!!
Ozzie JF-Expert Member Joined Oct 9, 2007 Posts 3,217 Reaction score 1,274 May 28, 2011 #25 Dah mkuu hiyo avatar yako balaa. Unaweza ukajaza kitabu au kupewa PhD kwa kuitafsiri tu...