Mapato ATCL yazidi kupaa

Mapato ATCL yazidi kupaa

MTANZANIA620

Senior Member
Joined
Jun 20, 2023
Posts
116
Reaction score
121
Mapato ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) yameongezeka kutoka shilingi bilioni 174.5 kwa mwaka wa fedha 2020/21 hadi shilingi bilioni 702.3 kwa mwaka wa fedha 2025/26 huku mategemeo yakiwa kufikia shilingi trilioni 1.64
 

Attachments

  • IMG_66398a77-63cf-45c9-8b1a-27209846d160.jpg
    IMG_66398a77-63cf-45c9-8b1a-27209846d160.jpg
    20.2 KB · Views: 3
Mapato ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) yameongezeka kutoka shilingi bilioni 174.5 kwa mwaka wa fedha 2020/21 hadi shilingi bilioni 702.3 kwa mwaka wa fedha 2025/26 huku mategemeo yakiwa kufikia shilingi trilioni 1.64
Kwenye biashara mapato kupaa siyo kitu chenye umuhimu kivile. Utuambie faida inayopatikana kwa mwaka kutokana na hizo ndege ni bilioni ngapi ndiyo utaeweka.
 
Kwenye biashara mapato kupaa siyo kitu chenye umuhimu kivile. Utuambie faida inayopatikana kwa mwaka kutokana na hizo ndege ni bilioni ngapi ndiyo utaeweka.
Mnampatia mtihani mkubwa sana mleta mada
 
Raha ya muongo ni kujilinganisha na 2020/2021 kwa kila takwimu inayohusu fedha wakiamini wanaharibu record ya mzilankende. Kiboko yao ni CAG tu, akija anapiga kwenye mshono kuwa shirika likula hasara mwanzo mwisho.
 
Back
Top Bottom