Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,591
- 34,938
Mtumishi jiandae na Ibada kesho 😃😃Mazee
Hivi nyie mna uhakika hii yenu ni timu ya mpira?😆😆
Mtumishi jiandae na Ibada kesho 😃😃Mazee
Hivi nyie mna uhakika hii yenu ni timu ya mpira?😆😆
Kama masihara hivi mwisho wa msimu united huyo championship
Ichukuliwe hatua madhubuti ya kuinusuru Klabu hii kubwa na aibu ya kushuka darajaWanasubiri nusu ya pili.
Oyaaaaa 😂😂😂Leo ndio tunaanza ligi
I'm very optimistic, Nina level kubwa ya Imani na ushindi wa leo
Mzee umepotea sana!Wagawa utam mambo
Seriously hii timu inashuka darajaLeo ndio tunaanza ligi
I'm very optimistic, Nina level kubwa ya Imani na ushindi wa leo
Mbona bayern madrid barcelona hizi mambo kwao hakunaUkisha fika juu kileleni hakuna tena pa kwenda zaidi ya kurudi chini
Tuenjoy moments tu hakuna namna 🍻
Tunaomba matokeoMtumishi jiandae na Ibada kesho 😃😃