Wazee hii timu ni Bora ishuke daraja, au mnaonaje wadau?...wale Jamaa wanasema as long as wanapata pesa basi inatosha, ww Ratclife mwenyewe anaishi Monaco sasa Kwani Sisi ni kina nani?, Sisi hata timu ikishuka daraja hakuna hasara tutakayoipata, hasara ni ya wao waingereza...