Mambo yashakua mengi njoo tuzogoe

Mambo yashakua mengi njoo tuzogoe

Binti wa zamani

Platinum Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
15,344
Reaction score
37,770
  1. Umeshawahi kuona nini baada ya mtu kuvua nguo mbele yako kwa mara ya kwanza ukashtuka?

    Shocked What The Hell GIF by WWE.gif


  2. Red flag (viashiria vibaya) uliviona mwanzo wa mahusiano ukavipuuza halafu vikaja kukugharimu baadaye?

  3. Je ni kweli wanawake ni tatizo? Na kama wanawake ni tatizo kwanini michepuko imeshamiri na wanaume wengi wanataka kuwa wana mwanamke zaidi ya mmoja?

  4. Ni tukio gani kubwa ushawahi kufanya kwenye mahusiano au kulishuhudia kwa wengine na unajua hawawezi kuja kulisahau?

  5. Kama kawaida, uliza swali lolote nitakujibu.

Alamsiki!
 
Back
Top Bottom