Mambo ya Kariakoo mtaa wa Congo

Mambo ya Kariakoo mtaa wa Congo

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,494
Reaction score
12,466
Miaka michache iliyo pita ilikua ukikatiza mtaa wa kongo kariakoo lazma upate kampani ya kibaka ana kufatilia kwa nyuma but these days hata upite na milioni 5 hakuna mtu mwenye habari na wewe tena ukidondosha hata peni unafanya kutafutwa ili upewe peni yako hakuna tena vibaka mtaa ule.....pongezi kwa manispaa ya ilala kwa kusafisha vibaka mtaa wa kongo.
 
Kwa hiyo vibaka wamestaafu au wote wameokoka
 
Ilikuwa ajira za watu mkuu.
Btn wamepungua na population ya watu wale walokuwa wanatandika vitu chini hakuna
 
Nikweli mkuu vibaka wamepungua kabisa kama si kumalizwa pale Congo.
Yaaani papo shwari sana,maana nao walikuwa wanajaza mji.
 
Miaka michache iliyo pita ilikua ukikatiza mtaa wa kongo kariakoo lazma upate kampani ya kibaka ana kufatilia kwa nyuma but these days hata upite na milioni 5 hakuna mtu mwenye habari na wewe tena ukidondosha hata peni unafanya kutafutwa ili upewe peni yako hakuna tena vibaka mtaa ule.....pongezi kwa manispaa ya ilala kwa kusafisha vibaka mtaa wa kongo.

Mbunge Idd Zungu anataka paendelee kuwa na vurugu
 
Hakuna kitu kama icho ni jana tu mchina kachukuliwa cm yake ma mwizi hakukamatwa kapita kama mshale
 
these days hata upite na milioni 5
hakuna mtu mwenye habari na wewe tena ukidondosha hata peni unafanya
kutafutwa ili upewe peni yako .
Hapa bado nina mashaka kwa wale wanaofahamu huo mtaa hebu semeni kitu.
 
Hii habari napata shida kuiamini, yaani kariakoo congo kwenye mbanano na wizi wa hali ya juu ndo pamekuwa shwari? Hapana huu utakua utani.
 
Miaka michache iliyo pita ilikua ukikatiza mtaa wa kongo kariakoo lazma upate kampani ya kibaka ana kufatilia kwa nyuma but these days hata upite na milioni 5 hakuna mtu mwenye habari na wewe tena ukidondosha hata peni unafanya kutafutwa ili upewe peni yako hakuna tena vibaka mtaa ule.....pongezi kwa manispaa ya ilala kwa kusafisha vibaka mtaa wa kongo.

Weka mbali na watoto!.....mtaa wa kongo haujawahi kuishiwa na vibaka,usijidanganye hata kidogo.Na vibaka wa pale wengine ukipishana nao unaweza usiwatambue kabisa,wapo very smart!
 
Miaka michache iliyo pita ilikua ukikatiza mtaa wa kongo kariakoo lazma upate kampani ya kibaka ana kufatilia kwa nyuma but these days hata upite na milioni 5 hakuna mtu mwenye habari na wewe tena ukidondosha hata peni unafanya kutafutwa ili upewe peni yako hakuna tena vibaka mtaa ule.....pongezi kwa manispaa ya ilala kwa kusafisha vibaka mtaa wa kongo.

cc: Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, ambaye
pia ni Diwani wa kata ya Gongo la Mboto Jerry
Silaa
 
Hapo n maarufu kwa ndolema ukshazembea unaachwa kwenye mataa chako wameshachukua....
 
We uliyeanzisha thread ni kibaka unataka tupite na milioni zetu uneemeke,mtaa wa Congo vibaka hawawezi kuisha,labda useme wamepungua.Mwezi wa 5 mwakahuu nilipita mitaa ile nikiwa na laki 6 kwenye kibegi kidogo,lilifanyika jaribio la kutaka kuniibia but walishindwa coz teknic walioitumia niko aware nayo,ile ya mtu kukupiga kikumbo makusudi huku kakukanyaga mguu halafu mwingine anakuibia,so ningekuwa siijui ningekuwa nishalizwa
 
We uliyeanzisha thread ni kibaka unataka tupite na milioni zetu uneemeke,mtaa wa Congo vibaka hawawezi kuisha,labda useme umepungua.Mwezi wa 5 mwakahuu nilipita mitaa ile nikiwa na laki 6 kwenye kibegi kidogo,lilifanyika jaribio la kutaka kuniibia but walishindwa coz teknic walioitumia niko aware nayo,ile ya mtu kukupiga kikumbo makusudi huku kakukanyaga mguu halafu mwingine anakuibia,so ningekuwa siijui ningekuwa nishalizwa

Aisee umenikumbusha mie jamaa alijifanya nimemnganyaga ameumia mwenzake akachomoa simu ila hakufanikiwa. Siuamini huo mtaa hata kidogo. Ni juzi tu
 
Ndio zao hizo,mi sahivi mtu akinikanyaga sideal naye hadi niangalie nyuma kama kuna usalama,inabidi wabadili mbinu sasa maana hiyo tushaijua
 
Ilikuwa ajira za watu mkuu.
Btn wamepungua na population ya watu wale walokuwa wanatandika vitu chini hakuna

na hii ndo imesaidia sana...mana wale ndo walikuwa wanaifanya nafasi ya kupita iwe finyu......ila bado sipaamini sana....
 
Back
Top Bottom