Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,263
- 17,140
Tuna Maprofessor wa kutosha kwenye siasa huyu si mpya kwa nini asiendelee kufundisha?
Huyu atakuwa ni opportunist as usual..
Yaani amekuwa professor mwaka jana tuu, tayari mwaka huu amesharukia kwenye siasa na kugombea uwakilishi!!
Mechanical engineer awa mbunge! Duuh! Anyway we need to add value to this country.
Mkuu huko sawa wengine tumesema ni Professor maji marefu kwa sababu hizo 45 uki-google angalau kutafuta CV yake sana sana tumepata kuwa amejulikana baada ya kuteuliwa kuwa Mbunge vinginevyo alikuwa hana chochote sijui hizo 45 ni za miti shamba?
Huyu atakuwa ni opportunist as usual..
Yaani amekuwa professor mwaka jana tuu, tayari mwaka huu amesharukia kwenye siasa na kugombea uwakilishi!!
Ninamfahamu vizuri tu Prof Mbarawa Tuko naye hapa Tshwane University of Technology (TUT) ni mtu mchapakazi na anaheshimiwa sana wanafunzi wake pamoja na colleagues.
Sula la yeye kuingia kwenye mambo ya siasa siwezi ku-comment kwa sasa, tungoje vimbwanga vyake huko Bungeni.
Ni SADC na siyo 'SADEC'...ukiwa kwenye jumba la vioo usirushie wenzako mawe!!Hii habari ya shule inanichanganya sana, sikuhizi watu hawasomi wanadesa tu! jana wabunge wanajinadi wamesoma wana masters wame zurura nje ya nchi vyakutosha lakini wana ulizwa kirefu cha SADEC hawana uwezo wakujibu, SADEC ina jumuisha nchi ngapi Hakuna jibu, Majukumu ya SADEC niyapi hakuna jibu, SADC ilianzishwa nchi gani hakuna jibu. Hawa niwabunge tena wanajinadi kusoma sana na uzoefu wa kuzurura nchi zawatu.Sasa mioni sielewi watu sikuhizi wana somaje na una enda kugombea nafasi ya uwakilishi SADEC wakati hata hujui hicho ni kitugani na majukumu yake ni yapi. Hapo sielewi
Huyu Prof kwa weledi wake inabidi apewe wizira mojawapo inayoshughulika na nishati an science kwa ujumla.
Salute wan JF!Wadau kwa kifupi huyu ndo Prof. Makame Mbarawa. The guy looks really good, ngoja tusubiri huko bungeni, labda atabadili sura ya researches nchini.
Professor Makame Mbarawa is a holder of a MSc Marine Engineering degree (Astrakhan State Technical, University, Astrakhan- Russia, 1992) and PhD of the University of New South Wales, Sydney, Australia (1999). He joined Tshwane University of Technology, Pretoria, South Africa as a Senior Lecturer in the Department of Mechanical Engineering. He was promoted to the position of Associate Professor in October 2005 and finally to that of Full Professor in July 2009. Professor Mbarawa's research interests are combustion of gaseous, Flue gas desulphurization, Filtration combustion in porous media; Soot formation in laminar diffusion flames; Alternative fuels and Renewable energy resources; and Biomass combustion. Over the years, Professor Mbarawa has published 45 of articles in national and international journals and presented 36 scientific papers in various conferences.
Kama una more info zilete hapa tuweze ku justify uteuzi wa JK.
Huyu atakuwa ni opportunist as usual..
Yaani amekuwa professor mwaka jana tuu, tayari mwaka huu amesharukia kwenye siasa na kugombea uwakilishi!!
....du, angekuja kwenye vyuo vidogo eg.DIT akawapa watoto elimu, ningefurahi.
NIMENUNA KUSKIA KARUDI BONGO AWE MBUNGE, STUPID CCM!
Nimeipenda hii. Huyu kaja likizo sio kufanya kazi. Wenzake watatu, Prof.Msola, Prof. Kapuya, Prof. Mwakyusa waliotolewa nje, tunawakumbuka kwa lipi zaidi. Bora hata Prof. Majimarefu (Ngonyani) angefaa zaidi wizara ya afya kwa ajili ya kuchochea utafiti wa dawa za asili.
Hii habari ya shule inanichanganya sana, sikuhizi watu hawasomi wanadesa tu! jana wabunge wanajinadi wamesoma wana masters wame zurura nje ya nchi vyakutosha lakini wana ulizwa kirefu cha SADEC hawana uwezo wakujibu, SADEC ina jumuisha nchi ngapi Hakuna jibu, Majukumu ya SADEC niyapi hakuna jibu, SADC ilianzishwa nchi gani hakuna jibu. Hawa niwabunge tena wanajinadi kusoma sana na uzoefu wa kuzurura nchi zawatu.Sasa mioni sielewi watu sikuhizi wana somaje na una enda kugombea nafasi ya uwakilishi SADEC wakati hata hujui hicho ni kitugani na majukumu yake ni yapi. Hapo sielewi