S shabby rashidi Member Joined Oct 14, 2015 Posts 6 Reaction score 0 Nov 19, 2015 #1 -bongo kila gari lina jina mara utakuta gari linaitwa ;-mganga haagizi mchicha\kisu hakilamwi\manfree\.....,,,,,,,.,,,,? endelea kuorodhesha mengine.
-bongo kila gari lina jina mara utakuta gari linaitwa ;-mganga haagizi mchicha\kisu hakilamwi\manfree\.....,,,,,,,.,,,,? endelea kuorodhesha mengine.
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 39,924 Reaction score 124,420 Nov 19, 2015 #2 Kuna yale yanayoitwa "Baluni" Volkswagen beetle zamani ziliitwa "Mgongo wa Chura"
Ziroseventytwo Platinum Member Joined Mar 27, 2011 Posts 9,484 Reaction score 18,001 Nov 19, 2015 #3 Magali ndio nini
Gilbert A Massawe JF-Expert Member Joined May 14, 2015 Posts 6,363 Reaction score 5,343 Nov 19, 2015 #4 Mzee magali au!