The Spirit of Tanzania JF-Expert Member Joined Mar 7, 2020 Posts 1,255 Reaction score 2,171 Nov 20, 2022 #1 amani iwe kwenu. wakuu nauliza,hapa dodoma nitapata wapi magodoro rejects ya pale kiwandani QFL niweze kutengeneza kisofa changu gheto?. natanguliza shukrani.
amani iwe kwenu. wakuu nauliza,hapa dodoma nitapata wapi magodoro rejects ya pale kiwandani QFL niweze kutengeneza kisofa changu gheto?. natanguliza shukrani.
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 35,984 Reaction score 105,642 Nov 20, 2022 #2 Kuna watu uwa wanaenda yachukua direct.
The Spirit of Tanzania JF-Expert Member Joined Mar 7, 2020 Posts 1,255 Reaction score 2,171 Nov 20, 2022 Thread starter #3 Mad Max said: Kuna watu uwa wanaenda yachukua direct. Click to expand... sijakuelewa mkuu,
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 180,400 Reaction score 197,884 Nov 20, 2022 #4 Ngoja waje kukupa muongozo...