dodoma

  1. Yoda

    Hongera jeshi la Polisi Dodoma kumsaidia mtoto aliyedhulumiwa nauli yake na madereva wa bus la Saratoga

    Haya mabasi ya mikoani ya huwa yana udhulumaji na utapeli mwingi sana hasa kwa watu dhaifu, washamba, waoga na watoto. Hawa Saratoga wamechukua nauli ya mtoto sawa na ya mtu mzima kutoka Kigoma hadi Morogoro halafu wamemtupia kwenye injini bila siti, uhuni mtupu. =========== Jeshi la Polisi...
  2. A

    KERO Mradi wa PSSSF HQ Kata ya Njedengwa - Dodoma, Wafanyakazi hawapewi viatu vya kujikinga

    Wafanyakazi wanaoshiriki katika ujenzi wa mradi wa makao makuu ya PSSSF unaoendelea Kata ya Njedengwa, Dodoma, chini ya kampuni ya ujenzi ya Hainan International kutoka China, wanafanya kazi katika mazingira magumu kutokana na kukosa vifaa muhimu vya kujikinga. Wafanyakazi hao hawapewi viatu...
  3. kiredio Jr

    Muda wa safari kati ya Dar mpaka Dodoma

    Wadau, naomba kuuliza je endapo nikitoka Dar saa tatu kamili usiku naweza kufika Dodoma sangap Kwa njia ya basi la abiria?
  4. Nguva Jike

    Mwalimu atoa malalamiko ya mwajiri ofisi ya makamu wa raisi Dodoma

    Leo tarehe 12.11.2026 mwalimu mmoja kutoka wilaya ya Kilindi Tanga apeleka kitini Cha malalamiko ofisi ya makamu wa raisi Dodoma. Ameahidiwa kupata majibu ndani ya siku 14 za kazi.Naomba msifute thread yangu ni muhimu kukomesha waajiri wababe tafadhali.
  5. Nguva Jike

    Kitini cha malalamiko ya mwalimu wa Kilindi Tanga chatua ofisi ya makamu wa raisi Dodoma Leo tarehe 12.11.2026.

    Habari za asubuhi wana jukwaa. Ni habari njema sana katika harakati za utumishi salama makazini katika sekta ya Elimu wilaya ya Kilindi Tanga.Na ni historia ya kipekee wilaya ya Kilindi Tanga katika kuhakikisha waajiri wanatimiza wajibu wao Kwa waliowaajiri bila vitisho. Moja ya maelezo...
  6. T

    KERO Wakazi wa Mtaa wa Mpamaa, Dodoma tunaishi kwa hofu kutokana na wizi kukithiri

    Mimi ni mkazi wa Mtaa wa Mpamaa, jijini Dodoma. Kwa sasa tunaishi kwa hofu kutokana na vitendo vya wizi vilivyokithiri katika eneo letu. Cha kusikitisha zaidi, watu wamekuwa wakiibiwa hata nyakati za mchana, hali inayotufanya tushindwe kuwa na uhakika wa usalama wa mali zetu. Kinachotushangaza...
  7. S

    KERO UDOM walianza kurejesha fedha za ziada (overpayment) lakini sasa wameacha, hatuelewi shida ni nini

    Bado kuna changamoto kubwa ya ucheleweshaji wa kurejesha fedha za ziada (overpayment) kwa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Baada ya taarifa iliyochapishwa na JamiiForums kuhusu kuchelewa kwa malipo hayo kusambaa, uongozi wa chuo ulianza kulipa baadhi ya wanafunzi, hatua iliyoashiria...
  8. C

    Wananchi waishukuru Serikali kwa “kuwabomolea nyumba”

    Wakati baadhi ya wakazi wa eneo la Maili Mbili, Kata ya Kiwanja cha Ndege jijini Dodoma wakikabiliwa na huzuni kufuatia zoezi la ubomoaji wa nyumba na majengo yao, baadhi ya vijana wanaofanya biashara ya bodaboda wamepongeza hatua hiyo ya Serikali, wakisema itasaidia kuboresha miundombinu ya...
  9. Mad Max

    Kwenye Mji Mpya utakao jengwa Hombolo Dodoma, kutakua na first racing circuit Tanzania!

    Kuna hii Hombolo Thematic Satellite City (HOTSAC) imetoka recently, ikionesha jinsi huu mji wa Hombolo utakavyokua. Pamoja na vitu kibao vitakavyokuwepo, basi na racing circuit viwango vya FIA itakuwepo. 🔥🔥🔥
  10. dodoma king

    Hivi hili joto Ni Dodoma tu au?

    Leo nipo Huku maeneo ya mpwapwa Huku mbori (matomondo) nimekuja kumsalimia Babu na Bibi yangu Picha linaanza nimeshuka kwenye gari nafika home joto ni Kali sana jua linawaka vibaya mno Tena ukizingatia nyumba za Huku Ni za asili Yani za tembe Basi Watu hawana Budi kukaa nje Watu wametandika...
  11. Good Neighbour

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa nzuguni Dodoma kinatazama lami

    KIWANJA KINATAZAMA BARABARA YA LAMI NZUGUNI _______ MAHALI-NZUGUNI _______ UKUBWA WA KIWANJA-3513SQM _______ KINA FENSI UPANDE WA NYUMA _______ DOCUMENT-HATI _______ BEI- 350M (MAONGEZI YAPO) _______ 0622111186 (CALL+WHATSAP)
  12. ChoiceVariable

    Vijana 97 Wapewa eka 500 mradi wa BBT Dodoma

    My Take -Programu ya BBT inaendelea -Programu ya kuchimbia wakulima wadogo visima vya Bure inaendelea -Programu ya mbolea ya ruzuku inaendelea Vijana, wanawake 97 wakabidhiwa mashamba ya BBT-II BahiVijana na wanawake 97 kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Bahi mkoani Dodoma wamekabidhiwa ekari 500...
  13. A

    KERO Kupata kibali cha ujenzi Dodoma ni shughuli hasa kwa sisi raia wa kawaida

    Kupata kibali cha ujenzi Dodoma imekuwa usumbufu mkubwa wanasema mpaka upate hati na hati siyo kitendo cha wiki moja, ni miezi na ukianza ujenzi wanakuja kusimamisha. Hati zinatolewa kwenye Mfumo wa E Ardhi, binafsi nina muamala ambao ni wa tangu Machi 2025 mpaka leo haijapatikana Control...
  14. dodoma king

    Kwanini DODOMA ndio mji mzuri zaidi Tanzania kuliko unavyodhani...

    1/7 Watu wanasema Dodoma ni vumbi. Uongo. Dodoma ni mji pekee Tanzania unaopumua. Hakuna kelele za daladala, hakuna foleni za masaa 3, hakuna mafuriko ya Kariakoo. Ni utulivu unaokupa akili ya kufikiri. 2/7 Dodoma ni MJI WA SERIKALI kweli kweli. Barabara zake ni pana, safi, na zina taa. Pale...
  15. Good Neighbour

    HUNA KAZI NA UKO DODOMA NICHEK NIKUFUNDISHE UDALALI UJIKWAMUE KIMAISHA

    Natafuta madogo wawili ambao wako mtaani hawana mitikasi niwafundishe udalali wa nyumba,viwanja na magari pengine itawasaidia kwa kipindi hiki ambacho hawana ajira rasmi ukiwa dodoma itakuwa poa zaidi nicheck whatsap-0622111186 GIVING BACK TO HELP THE YOUTHS
  16. K

    KERO Mtaa wa Chang'ombe Extension, Chang'ombe B, mpaka huku NKUHUNGU hakuna maji zaidi ya miezi Sasa

    Hii sasa ni shida, kwanini mnatufanyia hivi, Sasa wajibu wenu nini hapo ofisini au kusubiri posho na OCs lakini wananchi hatupati maji. Mtaa wa Chang'ombe Extension, Chang'ombe B, mpaka huku NKUHUNGU hakuna maji zaidi ya miezi Sasa. Chang'ombe B, mitaa ya Mbwanga watu kila siku tunashindwa...
  17. P

    Natafuta Fundi Mzuri Dodoma

    Wakuu habari za majukumu? Natafuta fundi wa kueleweka aliye Dodoma, nataka kujenga frem 8 za maduka, ambazo zitakuwa chini nne, na juu nne(kigorofa flan simple). Fundi mwenye uwezo na hii kazi anicheki fasta. Weka makisio ya BOQ na gharama za ufundi. Nitajibu kila kitu hapa kama kuna ufafanuzi...
  18. Roving Journalist

    Korea yaipatia Tanzania Sh Bilioni 441 za kujenga Chuo mahiri cha TEHAMA Dodoma

    TANZANIA inatarajia kupata Chuo Mahiri cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (DTI) jijini Dodoma, ambacho ujenzi wake unatarajiwa kugharimu zaidi ya shilingi bilioni 441, kupitia mkopo nafuu kutoka Serikali ya Korea Kusini, kwa ajili ya kuimarisha uzalishaji wa wataalamu wenye ujuzi wa hali ya...
  19. C

    Msaada mtu anayefanya kazi TAMISEMI Dodoma.

    Habari zenu Wakuu. Naomba kama kuna mtu anayefanya kazi TAMISEMI Dodoma au mwenye mawasiliano na mtu anayefanya kazi huko, ani-PM tafadhali. Nina jambo binafsi ambalo ningependa kupata ushauri na msaada kuhusu namna ya kulishughulikia. Nitashukuru sana kwa yeyote atakayeniunganisha na mtu...
  20. Terrible Teen

    Tulia Kituo chako cha Kazi Dodoma

    Mheshimiwa Kituo chako cha kazi ni DODOMA, kuna ofisi kubwa na Serikali ipo huko, lakini kila siku misafara uwanja wa ndege kwenda Dar na kisha pwani. Gharama hizi wanabeba wanyonge walipa kodi. Tunachoka sisi, kaa utulie upate muda wa kutafakari mambo makubwa ya kuendeleza familia.
Back
Top Bottom