Echolima1 JF-Expert Member Joined Nov 2, 2019 Posts 10,238 Reaction score 8,302 Jun 2, 2025 #1 Magaidi wa Hamas wanaendelea kupigwa kila uchao baada ya maficho yao kuangamizwa. Ni kawaida ya Magaidi kujificha kwenye maeneo ya raia. Your browser is not able to display this video.
Magaidi wa Hamas wanaendelea kupigwa kila uchao baada ya maficho yao kuangamizwa. Ni kawaida ya Magaidi kujificha kwenye maeneo ya raia. Your browser is not able to display this video.
PureView zeiss JF-Expert Member Joined Sep 5, 2016 Posts 14,623 Reaction score 46,983 Jun 2, 2025 #2 Hatari sana
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 56,527 Reaction score 106,802 Jun 2, 2025 #3 Wakong'ontwe sana hadi waitike..."rabeka bwana mkubwa" ..!No mercy/
Ibilisi Mjalaana JF-Expert Member Joined Aug 13, 2019 Posts 8,317 Reaction score 16,567 Jun 2, 2025 #4 Echolima1 ukinipa sababu zenye mashiko za kuichukia urusi anachofanya Ukraine kuanzia leo ntashangilia magaid ya Hamas kumalizwa
Echolima1 ukinipa sababu zenye mashiko za kuichukia urusi anachofanya Ukraine kuanzia leo ntashangilia magaid ya Hamas kumalizwa