T Twin_Kids JF-Expert Member Joined Feb 25, 2016 Posts 4,237 Reaction score 5,975 Aug 18, 2025 #1 AFC/M23, imesema haitohudhulia tena vikao vya Doha vinavyolenga kusuruhisha mzozo kati yake na uongozi wa DRC, ikiwa watu wake waliofungwa na serikali hawajaachiwa huru.
AFC/M23, imesema haitohudhulia tena vikao vya Doha vinavyolenga kusuruhisha mzozo kati yake na uongozi wa DRC, ikiwa watu wake waliofungwa na serikali hawajaachiwa huru.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,677 Reaction score 1,251,132 Aug 18, 2025 #2 Sawa sawa