Luteni Makamba:Kaburi la CCM

Luteni Makamba:Kaburi la CCM

Wakati ninyi mnamjadili na kumlaani Makamba.
Mimi namshangaa aliyemteua. Inawezekanaje mtu mwenye akili timamu achague embe bovu kwa chakula cha mchana???
Aliyemteua ndiye bomu zaidi ya mteuliwa.

Hapo nakuunga Mkono MIA kwa MIA, Tusiangalie tulipoangukia naomba tuangalie wapi tulijikwaa!!
:frusty:
 
Uzuri wa JF huwa tunajadili kila kitu hata kiwe kibovu au kizuri namna gani. Cha msingi mjadala ulenge kukosoa, kuelimisha ama kuburudisha ingawa mara nyingine mjadala unapaswa kuboa.

Hilo embe bovu tunalolijadili hapa lilipopolewa kutoka kwenye mkorosho. hivyo maajabu ni kwamba mpopoaji alitegemea miujiza kwamba uvundo waweza kugeuka manukato mazuri, sasa hiyo ni akili au tope??
 
Lingekuwa embe bovu basi msingehangaika kuliandikia makala. Kama mchangiaji mmoja alivyosema, ni mtu uliokuwa na matunda ndiyo unaorushiwa mawe!
Uzuri wa JF huwa tunajadili kila kitu hata kiwe kibovu au kizuri namna gani. Cha msingi mjadala ulenge kukosoa, kuelimisha ama kuburudisha ingawa mara nyingine mjadala unapaswa kuboa.

Hilo embe bovu tunalolijadili hapa lilipopolewa kutoka kwenye mkorosho. hivyo maajabu ni kwamba mpopoaji alitegemea miujiza kwamba uvundo waweza kugeuka manukato mazuri, sasa hiyo ni akili au tope??
 
Bora umeuliza swali Zuri maana kuna vyeo Vingi sana hapo kwenye kufika cheo cha Uluteni sasa bwana Lole ebu tuambie hao wengine wapo wapi?

Sajenti major, Corporal, Sajenti hawa siyo Maafisa wa kijeshi bali na askari wa kawaida wenye rank zisizo na mamlaka ya kiutwala ktk jeshi, Afisa ni kuanzaia Luten
Yaaa ni kweli vyeo vya maafisa vinaazia luten usu. ambao wanaitwa maafisa but hao wengine wanaitwa NCO YAANI WASIO MAAFISA non comission officers ambao wanaishia warrant officer,ajira yao inaishia hapo.kwa hiyo luten makamba ni afisa mdogo wa jeshi ambaye si askari bali walipelekwa kama makamisaa wa chama jeshini.ambao ndio waliochangia kuliharibu jeshi mpaka wakambiwa wachague moja,chama au jeshi,maana kijeshi walikuwa wadogo but kichama walikuwa na sauti sana utafikiri wale wazee wa enzi ya ukomunisti wasioambilika wa kirusi
 
"Matukio ya Uchaguzi mkuu na uteuzi wake wa baraza la mawaziri ni kielelezo tosha juu ya kugutuka huko." Yaani wewe!! Unatia kichefuchefu! Yaani hili baraza feki la mawaziri ndo kipimo chako cha kugutuka kwa huyo JK wako????!! Watu wakigutuka huwa wanaacha uozo na kufuata mema! Huyo JK wako hajagutuka wala nini!! Muda wa "adakadabla" (mazingaombwe) umekwisha! Hatudanganyiki!

Mkuu Mbaha acha jazba na tulia, weka kichwa chini na ukitumie!!
Kuna habari lukuki za baraza teule la JK katika vyombo vya habari kabla ya kutangazwa.
Siyo bure Mama Meghji akateuliwa ubunge maalum. Na je ulisha sikia mino'ngono kwenye magazeti juu ya shini kizo la Edward kuwa waziri wa tawala za Mikoa na serikali za mitaa?
Na je juu ya January Makamba kuwa Waziri huku baba yake akiapa kisirisiri kufanikisha azama hiyo?
Comments kama zako ni za wale watu naita macoconut, watu wa unazi tu wasiopenda kufikiri kidogo.
 
Wakati ninyi mnamjadili na kumlaani Makamba.
Mimi namshangaa aliyemteua. Inawezekanaje mtu mwenye akili timamu achague embe bovu kwa chakula cha mchana???
Aliyemteua ndiye bomu zaidi ya mteuliwa.

Ha ha ha
Mkuu Msanii , ni juu ya JK kuchagua kusuka au kunyoa!!
 
Makamba2.jpg

Siyo siri, kwa sasa hivi CCM inavuna kile Katibu wake Mkuu alichopanda.
Luteni Makamba, Katibu Mkuu wa CCM amekifikisha chama katika wakati mgumu pengine kuliko wakati wowote tangu kuzaliwa kwake mwaka 1977.
Wengi tulio wana CCM tulijiuliza ina kuwaje huyu jamaa wa cheo kidogo jeshini angeweza kuhimili asasi hii kubwa ya kisiasa.
Lazima tukumbuke kuwa kwanza Luteni ni cheo ambacho ni cha platoon commander, luteni anaongoza watu si zaidi ya 12.
Makamba kielimu hayuko juu sana , hivyo basi hata kwa uzoefu yeye si strategist, siyo political thinker, wala si administrator wa kutumainiwa.

QUOTE]

General - Jenerali
Lieutenant General - Luteni Jenerali
Major General - Meja Jenerali
Brigadier General - Brigedia Jenerali
Colonel - Kanali
Lieutenant Colonel - Luteni Kanali
Major - Meja
Captain - Kapteni
First Lieutenant - Luteni
Second Lieutenant - Luteni Usu
Warrant Officer - _________
Staff Sergeant - ________
Sergeant - Sajenti
Corporal - Koplo
Lance Corporal - Koplo mdogo
Private - Askari
Recruit - Kuruta

Makamba kicheo hayuko chini kiasi hicho lakini kifikra ...
 
General - [I said:
Jenerali [/I]
Lieutenant General - Luteni Jenerali
Major General - Meja Jenerali
Brigadier General - Brigedia Jenerali
Colonel - Kanali
Lieutenant Colonel - Luteni Kanali
Major - MeLOR]
Captain - Kapteni
First Lieutenant - Luteni
Second Lieutenant - Luteni Usu
Warrant Officer - _________
Staff Sergeant - ________
Sergeant - Sajenti
Corporal - Koplo
Lance Corporal - Koplo mdogo
Private - Askari
Recruit - Kuruta

Makamba kicheo hayuko chini kiasi hicho lakini kifikra ...

Mkuu unashindwa kuelewa kuwa katika jeshi Uofisa ni kuanzia Uluteni-usu,Makamba alikua Luteni,cheo cha pili kutoka chini kabisa katika uongozi kaika jeshi lolote duniani.Na huyu haongozi maofisa bali non comissioned officers kama makuruta,koplo,na sajenti.
Mzigo wa kuendesha CCM ni mkubwa mno kwa intellectual capability ya Makamba
 
Siwezi kukubishia kuhusu intellectual capability ya Makamba, soma tena post yangu.
 
Siwezi kukubishia kuhusu intellectual capability ya Makamba, soma tena post yangu.
Mkuu Insurgent, nimekuelewa vizuri sana katika post yako ya awali inayodai kuwa cheo cha makamba hakiko chini kiasi hicho kutoka chini kabisa.
Hapa kuna tatizo la uelewa juu ya neno "cheo" jeshini au rank.
Kimsingi wapiganaji wa ana kwa ana,non commissioned officers,ni wale kutoka recruits,servicemen,privates,lance-corporals,corporal,seargents na warrant officers.
Wapiganaji hawa wanakuwa chini ya uongozi wa maofisa kuanzia cheo cha luteni usu(2nd leutenant).
Kikundi kidogo kabisa kinachoweza kuongozwa na non commioned officer ni section ya watu6 hadi8 ,na inaongozwa na section commander. Section 2 hadi 4 zinatengeneza platoon,ambayo vile vile inakuwa chini ya platoon commander ambaye ni ofisa mwenye cheo cha luteni.
Huu ndio upeo mdogo aliofikia kiuongozi kimafumzo huko Monduli luteni Makamba.
Suala la intellect ya luteni Makamba linakuja kwa kulinganisha formal educatiom ya mzee huyu as against the formidability ya asasi kama CCM.
Kwenye chama huendeshi non commissioned officers bali nguvu kazi kubwa sana ya kisiasa ambayo ina wasomi, maprofesa wengi tu wa kumzidi luteni wetu kwa kila kitu.
Lt Makamba is the wrong man,at the wrong place,wrong time and is doing all the wrong things,unknowingly even to himself.
 
Back
Top Bottom