Lowassa anyimwa Visa ya kuingia UK?

Lowassa anyimwa Visa ya kuingia UK?

Kubwajinga wrote:
Nakubaliana na wewe. Kuna 'udaku' mwingine unafanya vichwa vijisugue kutoa mawazo. Kwa mfano nilikuwa na wazo lifuatalo;

Kwa nini tusipetition hizi balozi zilizopo TZ ili zote ziwanyime viza washukiwa wote wa Richmond, EPA, BOT n.k. mpaka hapo ukweli utakapojulikana? Maana serikali haijali kwa vile wengi waliomo ni wahusika otherwise wangeharakisha kuwanyang'anya pass zao kama walivyokuwa na haraka ya kuwatia ndani moderators wa JF. Waungwana mnasemaje??

Hiyo tunatatua wenyewe tu!
Cha kufanya ni kuwapokonya hati za kusafiria.

Watatuaji wenyewe ni sisi kwenye keyboard maana walio na rungu wote ni mafisadi. Kwa nini tusi-pertition wote wasiruhusiwe kutoka mpaka watakaporudisha pesa zetu na wahusika kuadhibiwa?
 
Hivi kwa nini TUSIPETISHENI hizi balozi za nchi wanazopenda kukimbilia wakatusaidia kuwazuia hawa mafisadi wote wasitoke hapa nchini mpaka kitakapoeleweka?? We can flood these embassies with petition emails asking for their help, kwani kama mtoto wa JK nako ni kafisadi, waziri wa mambo ya ndani mwenye polisi wote naye yumo, sasa nani kabaki kuwahukumu mafisadi??
 
Shule kata za bukoba tatizo ni matoto mapumbavu hayataki shule na wachache wenye mwamko wanaenda shule uganda, nshomile bila kusoma Rugambwa au ihungo bora aende uganda, pia ukarimu hafifu wa wenyeji husababisha walimu kikimbia.

wiki iliyopita nilienda Bariadi nimekuta wanavijiji wanapeana zumu ya kupeleka kwa walimu kuku, maziwa, kuni, mchele na kulima mashamba yao, walimu hao wanafurahia ajira zao sana na wanawajibika sawasawa.

Ukweli uko wazi Lowasa alijituma sana, watz tunataka watumishi wavivu wasiokuwa na maendeleo binafsi, mtumishi anayenuka kikwapa kwa kutooga ndio kwetu mwadilifu!

Mbona mhandisi wa tanesco aliyesema itachukua miaka 15 bwawa kujaa hajafutwa kazi? yero naiko aliyetoa cheti cha uwekezaji kwa kampuni hewa hajafutwa kazi? Dowans wamekomba 75bn hawajalipa kodi hata senti na kitilya yupo anangangania mitumba ya magari autorec, Pinda siamfute kazi sasa!!

tz ukiwa mchapakazi utaitwa mnoko utachukiwa na kila mtu.
 
eddy unatumia nguvu nyingi kumetetea mzee fisadi lakini angalia uhusiano wa machango wako na mada yenyewe kaka .
 
Duh! yamekuwa haya sasa toka kunyimwa viza mpaka kuwa mchapakazi hodari, ok what next? Awe Rais 2010? 2015 au...?

Halafu kama kawaida yetu tunaacha kuwawajibisha mafisadi wetu badala yake tunakimbilia kulaumu nchi zingine kwanini benki zao zinapokea na kuweka pesa zao? Yaani haiingii akilini kabisa, wakati mwingine sidhani kama tuko serious na kuwa na maendeleo yoyote ya kueleweka, maana uwajibikaji kwetu imekuwa kama sumu vile! Tunataka tufanyiwe kila kitu na kila mtu, wakituita mabwege tunaanza kulialia!
 
Mwakilishi ukishangaa ya Musa au Firauni utakuta na Lowasa ni makubwa zaidi .Endelea kujiuliza .
 
Eddy ni pacha wake (joke) si unaona ni kifupi cha Edward, kwa hiyo lazima afanye utetezi kwa brother wake ingawa yuko nje ya mada.

Eddy, nakushauri uanzishe thread yako kuhusu Lowassa Mchapakazi hodari aliyeishia kuwa Fisadi mkuu.
 
Ni udaku au habari, tukupe muda ulete habari... vingenevyo hiyo inakwenda kule...!
 
Swali wakuu,

IS LOWASSA GUILTY OF CORRUPTION?
HAS HE BEEN BROUGHT FORTH TO A COURT OF LAW TO FACE CHARGES?
or DID HE JUST STEP DOWN FOR THE BENEFIT OF THE PARTY?

Kumbukeni sheria inasema everyone is innocent until proved guilty
by a court of law.However as it stands the man has already been convicted by the court of public opinion.
With this premise in mind nadhani wakubwa wanajua what is going on na watam-cover tu.Somebody should have been preparing charges by now to be brought against him.As it is hili swala limeisha simply by Lowassa stepping down.Je are we going to get the money back?Je kutakua na funzo kwa mafisdadi wengine ama nd'o imeshatoka hio!!!
 
Jf Tuache J=kudharau Tusikilize Watu Na Si Kuhukumu Moj Kwa Moja
Watu Wataogopa Kutoa Mada
Ahsante
 
Nadhani sisi tunaopinga na kuona kuwa haiwezekani, tuna ushahidi mzuri kwa kufanya hivyo. Neno nadhani limebeba maana kubwa ya kutambua kuwa hapa kuna kitu, na lazima wpo wanokijua kitu hicho na hivyo tunategemea 'ripoti kamili'
 
Mimi sitakatishwa hata kidogo na maneno ya mashabiki wa mafisadi na mambo yao . Mimi nitasema tu bila ya uoga no matter what kukatishana tamaa . The bottom line ni kwamba Lowasa amenyimwa Visa na ukweli unasimama .
 
Kichwa cha habari ni: Lowasa anyimwa Visa ya kuingia UK.

Inaonekana mleta habari anao uhakika na hilo. Asilo kuwa na uhakika nalo ni sababu zilizofanya anyimwe visa.

Hili jambo la kunyima visa viongozi wanaoshukiwa kujihusisha na rushwa ni la kawaida kabisa siku hizi kwa ubalozi wa UK.
Kenya yamekwishawapata wengi; kama vile Chris Murungaru na the 'Total Man' wa kule Keito.

Wakenya wanayajua sana haya, na yanawaogopesha sana.

Sitashangaa hata kidogo kama UK sasa wameamua kuishushia ngoma hiyo ngoma Bongo.

Kalamu,

Sio sahihi kichwa cha habari ni Lowasa anyimwa Visa ya kuingia UK? hilo ni swali na sio statement hivyo mtoa hoja hana clue anauliza wanaojua wamsaidie.

Tukiendekeza vitu kama hivi mwingine atakuja na JK Kajiunga na TPP? sasa where do we draw the line?
 
Jf Tuache J=kudharau Tusikilize Watu Na Si Kuhukumu Moj Kwa Moja
Watu Wataogopa Kutoa Mada
Ahsante

One thing at JF is that you have to be sure of the crap you present at the table before critics turn on you!
We learn from mistakes.
 
Kalamu,

Sio sahihi kichwa cha habari ni Lowasa anyimwa Visa ya kuingia UK? hilo ni swali na sio statement hivyo mtoa hoja hana clue anauliza wanaojua wamsaidie.

Tukiendekeza vitu kama hivi mwingine atakuja na JK Kajiunga na TPP? sasa where do we draw the line?

Huwezi kufananisha JK Kajiunga na TPP? na Lowassa anyimwa Visa ya Kuingia UK?. Hicho kitendo cha JK hakiendani kabisa na sura ya matukio. Tuwaache watu waongee na kuchunguza mpaka ukweli utakapopatikana
 
Mjadala huu umesha hitimishwa na mtoa hoja kwamba ni kweli Lowasa alinyimwa Visa na anaye kataa anaweza kwenda Ubalozini kuuliza na atapata habari hizi.Maana ukienda kama mwandishi utapewa ukweli .Sioni haja ya kufanya jambo kuwa big deal .Jamaa alikuja akauliza then akaja akathibitisha Lowasa kunyimwa Visa .
 
Ninapewa habari muda huu kwamba ndugu aliyekuwa Waziri Mkuu asiye mstaafu kwa mujibu wa Sheria baada ya kuondoka toka Dodoma na kutulia Dar kabla ya kwenda Monduli aliomba Visa ya kwenda UK akapigwa chini.Habari za kupigwa chini kwenye maombi yake hazijajulikana lakini nadhani vyanzo vya Ubalozi wanasema hawakutaka akasemee nje na pia walikuwa na wasi wasi alikuwa anataka kuhangaika na pesa zake kwenye account za nje .

Habari zikija nitawapa na kama kuna mwenye kujau zaidi karibu uendeleze hapa .

Sikumbuki kama huyu jamaa alishawahi kwenda UK,
 
ninapewa habari muda huu kwamba ndugu aliyekuwa waziri mkuu asiye mstaafu kwa mujibu wa sheria baada ya kuondoka toka dodoma na kutulia dar kabla ya kwenda monduli aliomba visa ya kwenda uk akapigwa chini.habari za kupigwa chini kwenye maombi yake hazijajulikana lakini nadhani vyanzo vya ubalozi wanasema hawakutaka akasemee nje na pia walikuwa na wasi wasi alikuwa anataka kuhangaika na pesa zake kwenye account za nje .

Habari zikija nitawapa na kama kuna mwenye kujau zaidi karibu uendeleze hapa .

read msg under name top secret
 
Back
Top Bottom