Pascal MayallaMahakama kama kitengo cha kutoa haki, haki inatakiwa itolewe muda wote. Sasa mahakama yote inaendaje likizo kwa nini wasipeane rotation kama ofisi nyingine ili huduma ya kihaki iwepo muda wote. Hili limekaaje wajuvi wa haya mambo ya kisheria.
Sema ofisi nyingi huu mwezi wanasepa , yaani kuanzia December wanaondoka sana kama unabisha nenda akzunguke katika ofisi za taasisi nyingi.Huu ni ubabaishaji mwingine unatakiwa kukomeshwa. Na sisi wa afya tukisema tunaenda likizo itakuwaje?
Mnafiki huyo
Huu utalatibu mahakama imeanza lini?Sema ofisi nyingi huu mwezi wanasepa , yaani kuanzia December wanaondoka sana kama unabisha nenda akzunguke katika ofisi za taasisi nyingi.
Una ID ngapi humu?. Kuwa na ID nyingi haikusaidii kitulikizo ni muhimu kwa utendaji wenye weledi sioni ajabu kwa watu makini kupumzika kwa kipindi malumu