Kivipi mkuu una maanisha mleta mada ni mentally unhinged ?Mental health is real
Hivyo vinjiwa vyeupe umeweka hapo ni kama uzi wa msibaUsiku mwema.
Kwenye maisha nimejifunza kitu kimoja: gharama ya kubadilika ni kubwa, lakini gharama ya kubaki pale pale ni kubwa zaidi.
Watu wataona kimya chako, watadhani umepotea.
Wataona huongei, watadhani umeishiwa nguvu.
Hawajui unapambana kujijenga upya.
Sina haraka ya kuthibitisha chochote kwa mtu.
Ninachohitaji ni siku moja nijitazame na kusema:
โNilivumilia, nilijifunza, nikabadilikaโฆ na sikukata tamaa.โ
Usiku mwema Great Thinkers. ๐
Hivyo vinjiwa vyeupe umeweka hapo ni kama uzi wa msiba
Ni kweli kabisa. Afya ya akili ni muhimu kama afya ya mwili. Tusihukumu mtu kwa anayopitia; wakati mwingine mtu anahitaji kusikilizwa tu, kueleweka na kupewa support. โค๏ธKivipi mkuu una maanisha mleta mada ni mentally unhinged ?
Hayuko sawa, demu wake akae nae kimachale.Kivipi mkuu una maanisha mleta mada ni mentally unhinged ?
Kiongozi umesoma uzi??? Kama huko uliko ni usiku, Rest in PeaceR.I.P
Umeelewa au hujaelewa?Week - End ๐ ๐ด๐ด๐ด