ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 23,220
- 53,159
- Thread starter
-
- #221
Ukialikwa una alikika hata mimi naonaSi unajua leo siku ya kipaimara/komunio, sisi wengine hatukatai mialiko๐๐
Kikifa mtaalam wa kukifufua nipo, hizi ndio kazi za wazee wa hovyo ๐Anhaa bora kife tu ๐๐, mambo yasiwe mengi
Wine tenaaa ohoooo... mie yanguHuhuhuhu๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Hapa uwe na wine ๐ฅฐ๐ฅฐ
Yes we hutumii ?Wine tenaaa ohoooo... mie yangu
Ngoma za kitambo wapenda za zamani
Hapana mkuu, hizo tumewaachia watu wa Sinza kamanyora na Dar es Salaam kwa ujumla, sio wa mikoani zetu ni wanzuki na komoni ๐ ๐Yes we hutumii ?
Zetu sie wazee,milenialNgoma za kitambo wapenda za zamani
Hahaha, sitaki huko huko ulipokula ujana malizia uzee wakoKikifa mtaalam wa kukifufua nipo, hizi ndio kazi za wazee wa hovyo ๐
Oooh ok nyie kunyweni chimpumu๐คฃ๐คฃHapana mkuu, hizo tumewaachia watu wa Sinza kamanyora na Dar es Salaam kwa ujumla, sio wa mikoani zetu ni wanzuki na komoni ๐ ๐
Acha ukali๐คฃ๐คฃHahaha, sitaki huko huko ulipokula ujana malizia uzee wako
zilikuwa motoZetu sie wazee,milenial
Ukisikia unyanyapaa wa mtandaoni ndio huu sasa, kubaguana kwa kuangalia umri๐ ๐ ๐Hahaha, sitaki huko huko ulipokula ujana malizia uzee wako
Ndio hali yetu ya uchumi inaruhusu, ukiwa na buku jero unalewa hadi kujikojoleaa ๐Oooh ok nyie kunyweni chimpumu๐คฃ๐คฃ
my standards come with background checks and credit scores๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ simple life et dah
๐๐๐ si ndiyo hakuna namnaUkisikia unyanyapaa wa mtandaoni ndio huu sasa, kubaguana kwa kuangalia umri๐ ๐ ๐
Pampula haujamboSina sababu๐คฃ
Nitakupa dunia ambayo hakuna wa rika lako anaweza kukupa, halafu mwanamke hadate na age mate, tafuta mtu 10+ akupe raha!๐ ๐๐๐๐ si ndiyo hakuna namna
Mweeeeh! Mie tena ni pampula๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธPampula haujambo