A single parent is a person who lives with a child or children and who does not have a spouse or live-in partner. Reasons for becoming a single parent include divorce, break-up, abandonment, death of the other parent, childbirth by a single person or single-person adoption. A single parent family is a family with children that is headed by a single parent.
Nimejaribu kuwashawishi wazazi wangu ili nimuoe huyu Single Mother (Ms. Atupele) mwenye asili ya Kyela.
Ila naona inashindikana sina budi kutafuta binti wa Kichaga ili maisha yaendelee. Ms. Atupele nashukuru kwa huduma yako kwa muda tulioishi pamoja Goba.
Kwa heri Junior nilijitahidi zaidi ya...
Niwachane tu ukweli wadau..
Kuishi single ni msala, kwanza unakuwa una hasira hasira tu.
Ndugu zangu mlio single, Kamwe usije kudhani una enjoy, NY friend you are just surviving..
Kama jinsi mwili wako unavyo taka chakula hata viungo vyako vya siri vinadai...
I need to reshape my love life...
Ninwakatu dasa wale single wote jf tunuane hii ikiwa n pamoja na walioachika ama kuachwa
Piaa baada ya kutakafakari hizi ajali za mara kwa mara nimeona n vyemq tukafurahi pamoja sehemu na ku enjoy pamoja haya maisha hayaeleweki hata lini utatangulia ama kumpata mwenzio
Kila aliendan ya ndoa...
Siku za hivi karibuni nilijikita kwenye kutongoza single mothers,hawa watu bana wana mahasira muda wote,yani mnaweza mkawa kwenye conversations za kawaida tu,Mara ghafla mtu anaanza kuwa mkali tu bila sababu za msingi.
Shida ni nini,kwa nini hawa watu wanakuwa na mahasira kiasi hiki?
https://youtu.be/KttTL5iQi5o?si=mU_e9-6tFHvDf-_M
JAmani ndoa ni nzuri ila kuipata kuna changamoto sana hamjui tu .
Ukiona umeolewa na hujapata changamoto Mshukuru Mungu sana.
Hii post yaleo ninawaasa watu waache ngono zembe ni mbaya .
Ukiacha ngono zembe ukasubiri wa sahihi wako . Mungu...
Elon Musk has announced a plan to give one personal share of SpaceX stock to every child in America in 2027. In a post on his social media platform X on October 19, 2026, Musk wrote, “Next year, I will give one of my SpaceX shares to every kid in America. This will be the first of many.”
Key...
Yeah,
I’m a single man with nothing to lose. I have no family , no wife, no fience , no kids.
There’s little for me to miss. I’d do it all over again in a heartbeat. Maybe this time I wouldn’t waste my youth.
Katika ujana wangu huu ulio mwishoni very soon naenda hit 40, kwenye kupita huku na kule na nikiwa na uhitaji mkubwa wa kupata mtoto wangu wa tatu nilijikuta nimezaa na single mother flani mwanamke wa maana sana na kanizalia mtoto wa kiume.
Basi nimekuwa namhudumia yeye na mtoto wangu,miaka...
Paula Kajala amethibitisha rasmi kuwa mama yake, Kajala Masanja, amefunga kikamilifu ukurasa wa mahusiano na msanii wa muziki wa Bongo Flava, Rajab Abdul Kahali maarufu kama Harmonize, na kwamba hakuna uwezekano wowote wa wawili hao kurudiana tena.
Akiyafichua hayo kupitia mazungumzo na...
Lazima tukubali ukweli kwamba Waswahili na Wabantu hatuna historia kubwa kuu ya kale kihivyo na kwa hiyo hatuna mengi ya kujifunza, kuchangamsha na kuimarisha misuli ya bongo zetu kutoka kwenye historia yetu na tamaduni zetu wenyewe na kati yetu.
Kwa hiyo kwa kiasi kikubwa tunahitaji...
Kwa mwanamke kipi afadhali kati ya kuwa single mother wa mwanaume tajiri/ kigogo/ mwenye uwezo wa kuhudumia mtoto wake mahitaji yote kuanzia bima ya afya ya maana hadi shule za level ya Feza au ndoa ya kudumu na mwanaume wa kawaida, masikini, kapuku, mbangaizaji ambaye watoto watasoma St Kayumba...
Mwanamitindo Nicole Joy Berry atoa onyo kali kwa wanaume (DM) wakitaka mahusiano naye. Katika tamko lake hilo lililozua mjadala mzito, Nicole ameweka wazi msimamo wake kuwa hayuko tayari kuingia kwenye mahusiano na mwanamume asiye na uwezo wa kifedha, akisisitiza kuwa ni bora aendelee kuwa...
Unatoka kwenye ndoa kwa mbwembwe kwamba unakwenda "kutafuta maisha", halafu mala pap! Ex-mume wako anakukuta mtaani umejitwisha deli la matikiti unatembeza, unakula jua lako na mvua yako. Raha zote za nyumbani ukazikimbia ukachagua pambano la matikiti barabarani!
Msione tunawasapoti kwenye mada zenu za kuacha kuwahudumia wanawake mkaona tupo pamoja na nyie .
Ukitumia akili ukitafuta pesa vizuri na ukampenda mwanamke mzuri wa ndoto zako utampa huduma,,yaani pesaa.
Huwa naweka mada kupima kiwango cha umaskini ila ukiwa na akili timamu hauwezi...
Today I would like to celebrate single mothers. I may not have been raised by one but the burden of single motherhood is not lost on me.
One of my ex is a single mother. She has one lovely boy! From what i see her go through, my admiration and respect for her goes higher each day.
Single...
baba
binti
kijana
kumuweka
kuoa single mother
malezi ya single mother
mke
mke wangu
mtoto
mtoto wake
pongezi kwa single mothers
singlesingle mother
single mothers
wake
wangu
watoto
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.