stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 856
- 1,816
Ziuze kwa nusu bei, hapo hautakuwa na hasara sababu nusu nyingine itahesabika umetumia mwenyeweMarine board mirunda mbao zinabakia bila kazi tena ni hasara sanaa
Siku hizi mafundi kujiita ma-engenear ni ndio fashionhabari
naitwa Eng James niambie kwanini unaogopa kujenga ghorofa?
Mchawi ni mindsetMchawi ni pesa🤣🤣🤣🤣💺
Kampuni za usafi zipo.Ghorofa linakera kwenye usafi, unawaza siku ukiwa mzee itakuwaje?