kujenga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    Pesa za Abdul alizokataa Lissu zingetosha kujenga ghorofa nyumbani kwao, lakini alizikataa, abarikiwe sana.

    Jiulize nyumbani kwenu huna nyumba ya gharama, mara fuko la pesa za rushwa hizi hapa, ni wachache sana wanaweza kukataa. Zile pesa Abdul alizojaribu kumuhonga mwamba, zingebadili maisha ya ukoo wa lissu haraka mno, ila akazikataa . Katika dunia ya Leo ya ubepari, wengi wangeona hiyo ni fursa...
  2. F

    Kuna busara gani kujenga jumba la kufa mtu kijijini halafu ukapanga mjini?

    Kuna baadhi ya makabila kama vile wachaga na wahaya hupenda kujenga mahekalu vijijini mwao. Si jambo baya. Ila kipi utafanya. Utajenga jumba la kifahari kijijini na kuwa mpangaji mjini au utaanza kujenga mjini unakohangaikia na kuishi muda mrefu? Nini faida na hasara za haya mambo mawili kama...
  3. K

    Mwanamke aliye ndani ya ndoa kipato kikiongezeka anataka kuwa huru, Mwanaume akipata Pesa anawaza kujenga na kuimalisha famila /ndoa. Nini sababu?

    Habari za jumapili wadau, kuna hii tabia ya wanawake walio katika ndoa wanapopata Pesa cheo au umaarufu mahusiano yao ya kimapenzi / ndoa na wenza wao hufa. Kwanini mwanamke asitumie hicho kipato chake kuimalisha mahusiamo ya ndoa. Ukifuatilia baadhi ya ndoa zimevunjika baada ya mwanamke...
  4. Bemendazole

    Wtz mnazaa sana sasa tunalazimika kujenga Urafiki University

    Kasi ya kuzaliana Tanzania bado iko juu. Hii inaongeza mzigo kwa serikali katika kutoa huduma za jamii. Necta walituambia kuwa kuna wanafunzi milioni nne waliotakiwa kufanya mtihani wa darasa la pili na la nne! Tena wakatuambia kuwa zaidi ya wanafunzi milioni moja na laki moja wamemaliza elimu...
  5. youngkato

    Je, umewahi kufikiria kwamba unaweza kujenga biashara kwa kufanya kazi ambayo watu wengi hawana muda, vifaa au utaalamu wa kuifanya wenyewe?

    J Kila siku, nyumba, ofisi, maduka, hoteli, shule na majengo mbalimbali yanahitaji kusafishwa. Baadhi ya wamiliki wanafanya usafi wenyewe, lakini wengine wanahitaji watu au kampuni zinazoweza kutoa huduma hiyo kwa malipo. Hapa ndipo inapopatikana fursa ya biashara ya Cleaning Services, yaani...
  6. K

    Za Ndaani: Mjadala Wizi pesa za kujenga Uwanja wa mpira Arusha

    Mada hii leo imewashwa kuelekea tarehe ni script Kesho litatoka tamko kuhusu wizi uo ikiwemo pangua pangu Kesho mtachapwa yaliyojiri harusini Tarehe 7 Jumamosi Duduzuri atatumika kupima upepo pia 🚶
  7. Roving Journalist

    Korea yaipatia Tanzania Sh Bilioni 441 za kujenga Chuo mahiri cha TEHAMA Dodoma

    TANZANIA inatarajia kupata Chuo Mahiri cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (DTI) jijini Dodoma, ambacho ujenzi wake unatarajiwa kugharimu zaidi ya shilingi bilioni 441, kupitia mkopo nafuu kutoka Serikali ya Korea Kusini, kwa ajili ya kuimarisha uzalishaji wa wataalamu wenye ujuzi wa hali ya...
  8. BabaMorgan

    Unaweza kuhisi kujenga mazingira rafiki kwa watu wenye ulemavu ni kwa ajili ya majengo ya Umma pekee

    Kumbe hata unapojenga nyumba yako binafsi lazima uzingatie Kuwa ni rafiki kwa watu wenye mahitaji maalumu sababu maisha hayana guarantee maana unaweza kujikuta wewe mwenyewe mmiliki unakuwa mlemavu. Ukianza kutumia Wheelchair ama magongo utaweza kufika restroom na kujisitiri.
  9. Jack Daniel

    Kaa mbali na Vitu hivi Kwa ustawi wa maisha yako

    Salaam jamiiforum. Wanaume wenzangu chungeni hivi vitu,kuweni navyo makini na kama ukihisi huna uwezo wa kuvimudu usijihusishe navyo. 👉Pombe. Hii kitu inaweza kugharimu maisha yako na ukaharibu ndoto zako zote. 👉 Mapenzi. Usiiingie kwenye huu mtego kama huna akili timamu utaharibu future...
  10. M

    Sehemu gani nzuri kujenga moshi mjini yenye jamii mchanganyiko kipato cha kati

    Sina mpango wa kujenga katika maeneo ya kifahari yanayoishi watu wenye kipato cha juu sana. Ningependelea kujenga maeneo ya watu wa kipato cha kati, yenye makazi ya kawaida na nyumba za milioni 40 hadi 100. Pia, ningependa eneo hilo liwe na jamii mchanganyiko, linalokaliwa na watu wa makundi...
  11. youngkato

    Wakati wengine wanaona soda na maandazi kama vitu vidogo vya matumizi ya kila siku, mjasiriamali mwenye mipango anaweza kuona fursa ya kujenga

    " Fikiria eneo lenye ofisi, shule, gereji, stendi au shughuli nyingi za biashara. Watu wanapohitaji kifungua kinywa, kinywaji baridi au kitafunwa cha haraka, wanatafuta sehemu iliyo karibu, safi, yenye huduma nzuri na bei inayolingana na uwezo wao. Hapo ndipo biashara ya vinywaji baridi na...
  12. OMOYOGWANE

    Siri ya Mafanikio: Kwanini unapaswa kusoma Biashara Zilizokufa (Cadaver) kabla ya Kuanzisha biashara yako!

    Wakuu salama! Kuna ukweli mmoja mkubwa sana ambao mahasla wengi huwa tunaufeli. Mara nyingi tunakimbilia kusoma historia za biashara zilizofanikiwa (kama akina Mo Dewji au GSM). Lakini ukweli ni kwamba, ukitaka kujua changamoto halisi za soko, usisome waliofanikiwa nenda kasome biashara...
  13. Zack Abdul

    Kuchoma si kujenga, kuharibu si kushinda

    TUSIRUHUSU TOFAUTI ZETU ZITEKETEZE KILE TUNACHOPASWA KUKILINDA KWA PAMOJA. Oktoba 29 iwe kumbukumbu inayotufundisha, si alama ya uharibifu tunayojivunia, Tanzania ni yetu sote, tusiiache hasira ya siku moja iharibu matumaini ya miaka mingi. #Tumechaguaamani #Haturudiitena #Tanzanianiyetusote...
  14. K

    Wadau kwanini hatuna mijadara ya kujenga mfano Barabara zetu na huduma za umma , bungebubu ufisadi, na makakama iliyopoteza uhuru wake

    Habari ya kuyimuka Wadau, Humu ndani ya jukwaa mwanzoni tulikuwa na mijadala mizuri na yenye tija Kwa nchi yetu kwasasa haionekani. Kuna changamoto nyingi kwenye maneo ya miundo mbinu yetu hasa Barabara. Barabara zetu nyingi ni mbovu zina mashimo yayosababisha uharibifu WA magari na wakati...
  15. zee_latown

    Nashauri kijana anayejitafuta amuangalie Rostm Aziz kama icon kwenye kujenga mipaka

    Habarini! Nadhani kwa umri ninaweza kuwa mkubwa kidogo kuliko RA, ambaye ni mdogo wangu. Lakini nina jambo ambalo ningependa kuwashauri wale wote walio tayari kushaurika, hasa vijana wanaojitafuta na wanaotaka kufika mbali kimaisha. RA ni mtu smart, ingawa kama binadamu mwingine yeyote anaweza...
  16. K

    Taifa haliwezi kujenga imani ya kudumu kwa kuwarubuni kwa matukio ya kisiasa. Ili watu wasahau maswali ambayo ni magumu na hayajawahi kupatiwa majibu.

    Maridhiano si tangazo la kisiasa tu kushikana mikono kati ya baadhi ya viongozi. Ni mchakato wa kurejesha imani miongoni mwa watu ambayo maisha yao, familia zao na hali zao zipo mashakani .
  17. Dennis Robert Shughuru

    SUMA JKT watengeneze drone, missile, bunduki, Armoured vehicles n.k na sio kujenga barabara au majengo

    Binafsi naona sio sawa kwa SUMA JKT kujenga barabara, majengo na nyinginezo kama hizo Kuanza qualification za kwenda jeshi iwe ni JKT au JWTZ ziwe ni form six aliyefaulu kwa dv 1 au 2 Naamini SUMA JKT wajikite kwenye kutengeneza vifaa vya kijeshi kuanzia kwenye tafiti research mpaka kwenye...
  18. Manyanza

    Historia ya Mzee Joseph Mfugale kutoka kijijini Iringa na kujenga Peacock Hotel jijini Dar es Salaam

    Utajiri hauanzii kwenye fedha nyingi; wakati mwingine huanzia kwenye ujuzi, uthubutu na uwezo wa kuona fursa pale wengine wanapoona changamoto. Wakuu, leo ningependa kushiriki historia ya marehemu Mzee Joseph Mfugale, mfanyabiashara Mtanzania anayekumbukwa kwa kuanzisha Peacock Hotel jijini Dar...
  19. H

    Tetesi: Chadema inatakiwa kujenga sera na imani zake na kuziandika na kuzifundisha. Mkiendelea kuamini watu Ata Heche anaweza kubadilika.

    Kupitia Mbowe Chadema tunapaswa kujifunza tu. Watu hawapaswi kabisa kumwamini mtu tena. Inapaswa kuandika "BIBLIA YAKE" kuwa na viapo vyake, Na Katekisimu zake za kufuata Sio kutembea na upepo na kauli za viongozi. Sasa naijua siasa vizuri. Ndio maana nafsi ya Kwanza inabaki hapa ya pili...
  20. R

    Ushauri gani unaoweza kumpa mtu anayeanza kujenga?

    Habari Wakuu, Nimeona niulize hili swali maana wengine bado tupo kwenye nyumba za kupanga mara wengine kwa wazazi lakini purukushani zinatufosi tuwaze au hata tayari tumejipata tunataka kuanza kujenga. Pia Naamini wapo ambao tayari wapo kwenye nyumba zao hivyo wana uzoefu sana katika masuala ya...
Back
Top Bottom