Sisyphus JF-Expert Member Joined Oct 8, 2015 Posts 6,049 Reaction score 8,924 Aug 3, 2026 #2 Huyo Heche na hao wengine ni kina nani wafuasi wake?
Dkisaka JF-Expert Member Joined Aug 5, 2018 Posts 1,097 Reaction score 3,311 Aug 3, 2026 #3 Ukweli mchungu. Watz hawana msimamo, hawajui wanataka nini. Lissu na Heche kuna mda unawezadhani wanapoteza mda vile muamko wa wtz ulivyo wa nguvu za soda
Ukweli mchungu. Watz hawana msimamo, hawajui wanataka nini. Lissu na Heche kuna mda unawezadhani wanapoteza mda vile muamko wa wtz ulivyo wa nguvu za soda